Je, ni siri gani yoyote ya Mafanikio unayoijua tofauti na kuroga?

Hangaika na soko kubwa au wateja wakubwa. Kazi za Elfu hamsini, laki mbili na kadhalika zitakupa kula tu ila hamna kutoboa.

Mafanikio makubwa yapo kwenye wateja wakubwa na miradi mikubwa ya serikali, mashirika na makampuni makubwa size za Millioni 10, Millioni 100, Billioni na kadhalika.
Bado hujajibu vizuri. Bora useme anza na kidogo halafu ndiyo apande kuelekea kwenye mamilioni
 
Humu ndani Kuna watu waliofanikiwa Lakini "Wanacode" ambayo wanahisi kwamba ni mbinu mojawapo iliowasaidia wakaanza Kuona Mwanga.

Je, ni siri gani yoyote unayoifahamu ya mafanikio? Au juhudi peke yake na consistency?

Mimi ninaona Siri pekee ya Mafanikio ni kuanza kufanya (Action) au kuanza mapema kabisa kuyatafuta mafanikio, watu wengi tuna plan Nyingi kichwani Lakini tunashindwakufanya hizo plan/idea kuwa halisi.
Sawa ila kuna kitu kimoja muhimu sana ili ufanikiwe kweli kweli, ukiweza hilo mkuu wewe unakuwa boss kikwelii, unajua nini?, jitahidi uwe boss wa shetani!
 
Humu ndani Kuna watu waliofanikiwa Lakini "Wanacode" ambayo wanahisi kwamba ni mbinu mojawapo iliowasaidia wakaanza Kuona Mwanga.

Je, ni siri gani yoyote unayoifahamu ya mafanikio? Au juhudi peke yake na consistency?

Mimi ninaona Siri pekee ya Mafanikio ni kuanza kufanya (Action) au kuanza mapema kabisa kuyatafuta mafanikio, watu wengi tuna plan Nyingi kichwani Lakini tunashindwakufanya hizo plan/idea kuwa halisi.
Bado hujaiona dunia wewe.Ingekuwa NI rahisi hivyo hata watu wasingelalamikia chuma ulete,n.k
Mafanikio Yana Siri kubwa.
Lazima uwe UPANDE wa ndumba au UPANDE wa Maombi
 
Hangaika na soko kubwa au wateja wakubwa. Kazi za Elfu hamsini, laki mbili na kadhalika zitakupa kula tu ila hamna kutoboa.

Mafanikio makubwa yapo kwenye wateja wakubwa na miradi mikubwa ya serikali, mashirika na makampuni makubwa size za Millioni 10, Millioni 100, Billioni na kadhalika.
Unamaanisha connection mkuu?
 
Ingekuwa kuroga unafanikiwa basi waafrika wasingekuwa masikini
 
Hakuna atakae kushauri ukamwelewa kwa sababu kwanza haujasema mafanikio kwako ni nini na kwa level ipi , inawezakana pia hawa unawaomba ushauri umewazidi mbali tu sema kwa level yako bado.
 
Humu ndani Kuna watu waliofanikiwa Lakini "Wanacode" ambayo wanahisi kwamba ni mbinu mojawapo iliowasaidia wakaanza Kuona Mwanga.

Je, ni siri gani yoyote unayoifahamu ya mafanikio? Au juhudi peke yake na consistency?

Mimi ninaona Siri pekee ya Mafanikio ni kuanza kufanya (Action) au kuanza mapema kabisa kuyatafuta mafanikio, watu wengi tuna plan Nyingi kichwani Lakini tunashindwakufanya hizo plan/idea kuwa halisi.
Mafanikio ni siri sana usijaribu kuweka mifereji ya mafanikio yako hadharani. Hata kwenye biashara tuna trade secrets. Mtu yeyote haambiwi mchanganyiko wa formula ya bidhaa yako...mfano Coca-Cola and everything. Hata ukiajiri mtu anatakiwa kusaini Non disclosure agreement. Akiitoa siri unaweza ata kumuuuaaaaa. .

Niishie hapo ata mbinu za kuwa salama au usalama ni siri kubwa sana. Kujua kama unajua siri ya mafanikio ni mpaka ufanikiwe na hakuna Mtu atakwambia utunze siri.

Kutunza siri ya mafanikio ni kitu naturally ata ukitaka kuisema huwezi na siku ukiropoka utajutia sana maisha yako yote. Ukizani kuwa umewahi kusema siri ya mafanikio sio kweli ulichosema sio siri ilikuwa ni taarifaa tu ya kawaida.

Kwanza siri ya mafanikio ni vitu vyaa ajabu sana ata ukianza kusema kila mtu atakushangaa. Ataona unaongea ukinga gani..ni ngumu kumeza na
 
Mafanikio hayana accurate formula,ingekua ni hivyo basi watu wote wangefuata hiyo formula na kua matajiri,

Kingine,tafsiri ya mafanikio inategemea mtu na mtu,kuna mtu kununua Baiskeli kwake ni mafanikio ila kwa mwingine unakuta hilo kwake sio mafanikio,

Mafanikio ni kutimiza malengo uliyojiwekea.
Naam..
 
Back
Top Bottom