Benbulugu
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 852
- 1,236
Hivi kweli eehh???Code ni nyingi ila ubahili na kukaa mbali na kuhonga ndo Kodi namba moja ya Mafanikio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kweli eehh???Code ni nyingi ila ubahili na kukaa mbali na kuhonga ndo Kodi namba moja ya Mafanikio.
Hivi kweli mkuuCode ni nyingi ila ubahili na kukaa mbali na kuhonga ndo Kodi namba moja ya Mafanikio.
SureHivi kweli eehh???
Utajiri wa mchawi ni sifa tu akisifiwa kawazidi wenzake ndio utajiri wakeNa wachawi wengi kijijini ni masikini japokuwa wanasema utajiri wa mchawi ni huko tusipopaona
WiziHumu ndani Kuna watu waliofanikiwa Lakini "Wanacode" ambayo wanahisi kwamba ni mbinu mojawapo iliowasaidia wakaanza Kuona Mwanga.
Je, ni siri gani yoyote unayoifahamu ya mafanikio? Au juhudi peke yake na consistency?
Mimi ninaona Siri pekee ya Mafanikio ni kuanza kufanya (Action) au kuanza mapema kabisa kuyatafuta mafanikio, watu wengi tuna plan Nyingi kichwani Lakini tunashindwakufanya hizo plan/idea kuwa halisi.
Ule wa kichawi ndio siriMafanikio ni siri sana usijaribu kuweka mifereji ya mafanikio yako hadharani. Hata kwenye biashara tuna trade secrets. Mtu yeyote haambiwi mchanganyiko wa formula ya bidhaa yako...mfano Coca-Cola and everything. Hata ukiajiri mtu anatakiwa kusaini Non disclosure agreement. Akiitoa siri unaweza ata kumuuuaaaaa. .
Niishie hapo ata mbinu za kuwa salama au usalama ni siri kubwa sana. Kujua kama unajua siri ya mafanikio ni mpaka ufanikiwe na hakuna Mtu atakwambia utunze siri.
Kutunza siri ya mafanikio ni kitu naturally ata ukitaka kuisema huwezi na siku ukiropoka utajutia sana maisha yako yote. Ukizani kuwa umewahi kusema siri ya mafanikio sio kweli ulichosema sio siri ilikuwa ni taarifaa tu ya kawaida.
Kwanza siri ya mafanikio ni vitu vyaa ajabu sana ata ukianza kusema kila mtu atakushangaa. Ataona unaongea ukinga gani..ni ngumu kumeza na
Kwahiyo mkuu wewe unapiga ipi Kati ya hizo
Brother ktk hali yakawaida hata uliyoyaandika hapa wengi wanafanya ,tena kwa ustadi mkubwa ila maisha kwao au kwetu bado ningumu,nadhani maswala ya utajiri nikama vile ilivyokua ngumu ktk bible story ya jmaaa mmoja tajiri aliyejinadi kwa bwana yesu kua ashafanya kila kitu ikiwemo kufuata amri zamungu nasheria zake??je afanye nn ilikuuona ufalme wa Mungu??bwnaa yesu alimuambia akauze mali zake zote halafu amufuate yesu..bwana yule aliondoka kwa huzuni kubwa(ktk maswala ya kuutafuta utajiri i guess kuna secrets nzito zaidi ya haya uliyoyaandika hapa.1. Ni kufanya kazi kwa bidii
2 kumwomba mungu
3.kutoa sadaka
4. Nidhamu kubwa ya fedha
Code ni nyingi ila ubahili na kukaa mbali na kuhonga ndo Kodi namba moja ya Mafanikio.
Ubahili
04.Siri.......uchawi01. Mungu
02. Action
03. Work hard & smart
04. Siri