Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Kwahiyo tofauti na hiyo haipo?Kuroga
Ubahili hiyo tunaita risk management indirectly.Code ni nyingi ila ubahili ndo Kodi namba moja ya Mafanikio.
Watu wa uchumi nawakubali sana hard work Spritual and physically .Ubahili hiyo tunaita risk management indirectly.
Ndo namba moja kupata mafanikio kwenye uwekezaji na biashara.
This guy😂😂Kwani mafanikio ni nn kwanza?
Mafanikio ni mfano wa kukaa on top kwa kila kitu na kutokuwa broke mfano BakhressaKwani mafanikio ni nn kwanza?
unamzungumziaje Bakhresa na biashara zake za mikate ya buku buku, juice za jero jero na biscut za mia mia ?Hangaika na soko kubwa au wateja wakubwa. Kazi za Elfu hamsini, laki mbili na kadhalika zitakupa kula tu ila hamna kutoboa.
Mafanikio makubwa yapo kwenye wateja wakubwa na miradi mikubwa ya serikali, mashirika na makampuni makubwa size za Millioni 10, Millioni 100, Billioni na kadhalika.
1.Kuwa king'ang'anizi katika jambo unalolifanya.Humu ndani Kuna watu waliofanikiwa Lakini "Wanacode" ambayo wanahisi kwamba ni mbinu mojawapo iliowasaidia wakaanza Kuona Mwanga.
Je ni siri gani yoyote unayoifahamu ya mafanikio? Au juhudi peke yake na consistency? Mimi ninaona Siri pekee ya Mafanikio ni kuanza kufanya (Action) au kuanza mapema kabisa kuyatafuta mafanikio, watu wengi tuna plan Nyingi kichwani Lakini tunashindwakufanya hizo plan/idea kuwa halisi.
Hii ni kweliKwa waafrika wengi mafanikio yako hivi
1. Uchawi 75%
2. Juhudi 25%