Bado hujajibu vizuri. Bora useme anza na kidogo halafu ndiyo apande kuelekea kwenye mamilioniHangaika na soko kubwa au wateja wakubwa. Kazi za Elfu hamsini, laki mbili na kadhalika zitakupa kula tu ila hamna kutoboa.
Mafanikio makubwa yapo kwenye wateja wakubwa na miradi mikubwa ya serikali, mashirika na makampuni makubwa size za Millioni 10, Millioni 100, Billioni na kadhalika.
Sawa ila kuna kitu kimoja muhimu sana ili ufanikiwe kweli kweli, ukiweza hilo mkuu wewe unakuwa boss kikwelii, unajua nini?, jitahidi uwe boss wa shetani!Humu ndani Kuna watu waliofanikiwa Lakini "Wanacode" ambayo wanahisi kwamba ni mbinu mojawapo iliowasaidia wakaanza Kuona Mwanga.
Je, ni siri gani yoyote unayoifahamu ya mafanikio? Au juhudi peke yake na consistency?
Mimi ninaona Siri pekee ya Mafanikio ni kuanza kufanya (Action) au kuanza mapema kabisa kuyatafuta mafanikio, watu wengi tuna plan Nyingi kichwani Lakini tunashindwakufanya hizo plan/idea kuwa halisi.
Bado hujaiona dunia wewe.Ingekuwa NI rahisi hivyo hata watu wasingelalamikia chuma ulete,n.kHumu ndani Kuna watu waliofanikiwa Lakini "Wanacode" ambayo wanahisi kwamba ni mbinu mojawapo iliowasaidia wakaanza Kuona Mwanga.
Je, ni siri gani yoyote unayoifahamu ya mafanikio? Au juhudi peke yake na consistency?
Mimi ninaona Siri pekee ya Mafanikio ni kuanza kufanya (Action) au kuanza mapema kabisa kuyatafuta mafanikio, watu wengi tuna plan Nyingi kichwani Lakini tunashindwakufanya hizo plan/idea kuwa halisi.
4. Ndio lengo la post01. Mungu
02. Action
03. Work hard & smart
04. Siri
Hata WAZUNGU,wachina,wahindi,waarabu.uchawi ni dunia nzimaKwa waafrika wengi mafanikio yako hivi
1. Uchawi 75%
2. Juhudi 25%
Mkuu utakaaje na demu bila kumhonga au tuache tu wanawakeCode ni nyingi ila ubahili na kukaa mbali na kuhonga ndo Kodi namba moja ya Mafanikio.
Unamaanisha connection mkuu?Hangaika na soko kubwa au wateja wakubwa. Kazi za Elfu hamsini, laki mbili na kadhalika zitakupa kula tu ila hamna kutoboa.
Mafanikio makubwa yapo kwenye wateja wakubwa na miradi mikubwa ya serikali, mashirika na makampuni makubwa size za Millioni 10, Millioni 100, Billioni na kadhalika.
Mafanikio ni kuwa na pesa nyingi kuzidi majiraniKwani mafanikio ni nn kwanza?
Hawa wanawake Kuanzia 17-18 wanaelewa ukiwalisha falsafa kuwa mnapambana ili kutoboa so mnaweza safari Pamoja mfano Jay z na Beyonce jinsi walivyoMkuu utakaaje na demu bila kumhonga au tuache tu wanawake
90 asilimia wanaroga mbona still umasikini umetapakaaKwa waafrika wengi mafanikio yako hivi
1. Uchawi 75%
2. Juhudi 25%
Mbona watu wanaroga sana na still hawafanikiwi.Hii ni kweli
Simple and clear!!01. Mungu
02. Action
03. Work hard & smart
04. Siri
Na wachawi wengi kijijini ni masikini japokuwa wanasema utajiri wa mchawi ni huko tusipopaona90 asilimia wanaroga mbona still umasikini umetapakaa
Mafanikio ni siri sana usijaribu kuweka mifereji ya mafanikio yako hadharani. Hata kwenye biashara tuna trade secrets. Mtu yeyote haambiwi mchanganyiko wa formula ya bidhaa yako...mfano Coca-Cola and everything. Hata ukiajiri mtu anatakiwa kusaini Non disclosure agreement. Akiitoa siri unaweza ata kumuuuaaaaa. .Humu ndani Kuna watu waliofanikiwa Lakini "Wanacode" ambayo wanahisi kwamba ni mbinu mojawapo iliowasaidia wakaanza Kuona Mwanga.
Je, ni siri gani yoyote unayoifahamu ya mafanikio? Au juhudi peke yake na consistency?
Mimi ninaona Siri pekee ya Mafanikio ni kuanza kufanya (Action) au kuanza mapema kabisa kuyatafuta mafanikio, watu wengi tuna plan Nyingi kichwani Lakini tunashindwakufanya hizo plan/idea kuwa halisi.
Naam..Mafanikio hayana accurate formula,ingekua ni hivyo basi watu wote wangefuata hiyo formula na kua matajiri,
Kingine,tafsiri ya mafanikio inategemea mtu na mtu,kuna mtu kununua Baiskeli kwake ni mafanikio ila kwa mwingine unakuta hilo kwake sio mafanikio,
Mafanikio ni kutimiza malengo uliyojiwekea.