Je, ni siri gani yoyote ya Mafanikio unayoijua tofauti na kuroga?

Wizi
Ujambazi
Rushwa
Kuua nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ule wa kichawi ndio siri
 
1. Ni kufanya kazi kwa bidii
2 kumwomba mungu
3.kutoa sadaka
4. Nidhamu kubwa ya fedha
Brother ktk hali yakawaida hata uliyoyaandika hapa wengi wanafanya ,tena kwa ustadi mkubwa ila maisha kwao au kwetu bado ningumu,nadhani maswala ya utajiri nikama vile ilivyokua ngumu ktk bible story ya jmaaa mmoja tajiri aliyejinadi kwa bwana yesu kua ashafanya kila kitu ikiwemo kufuata amri zamungu nasheria zake??je afanye nn ilikuuona ufalme wa Mungu??bwnaa yesu alimuambia akauze mali zake zote halafu amufuate yesu..bwana yule aliondoka kwa huzuni kubwa(ktk maswala ya kuutafuta utajiri i guess kuna secrets nzito zaidi ya haya uliyoyaandika hapa.
 
If you're a man

1.staying away from women
2.staying away from wom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…