Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

Hahah Mimi sio mpenzi wa Gari za dizaini hizo tu mkuu,hata Audi rs6 naipenda tu mambio yake lkn ilivyokaa siipendi.
Nishamiliki hilo legacy miaka ya nyuma,sasa nikawa na plan labda nirudi tena mle maana naijua ilivyo ugumu wake,nikapita sehemu humu mkuu Extrovert nikaona anaifananisha na fielder,stim ikakata hapo hapo 😀
 
Kwanza sikuwa nataka kuvuka 130, nilishangaa tu nachungulia mshale upo 160 na bado ilikuwa inadaendelea. Nikaona sio sifa wacha nipunguze mafuta.
Kwa safari fupi 120 inapendeza, ila kama unakuta unatakiwa utembee zaidi ya 1000 km + huo mwendo utajilaumu..
 
Kwa safari fupi 120 inapendeza, ila kama unakuta unatakiwa utembee zaidi ya 1000 km + huo mwendo utajilaumu..
Ni vema uwahi kuamka kuliko kukimbizana na zaidi ya 140. Barabara zenyewe hizi hazieleweki. Angalau kipande cha Dodoma to Kondoa barabara iko vizuri. Hiyo speed tuwaachie wenye ma VXR
 
Ni vema uwahi kuamka kuliko kukimbizana na zaidi ya 140. Barabara zenyewe hizi hazieleweki. Angalau kipande cha Dodoma to Kondoa barabara iko vizuri. Hiyo speed tuwaachie wenye ma VXR
Bila kufuta sahani sijisikii kabisa, pia nashukuru nishaachana na gari zenye mwisho wa 180kmh.. na mwisho wangu Huwa sizidi 250kmh na sitembei chini ya 160kmh ambapo hakuna kibao Cha 50kmh
 
Back
Top Bottom