Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

Asee, pole sana chief...... mwendo haukufai.
 
Asee, pole sana chief...... mwendo haukufai.

Nilishapoa kitambo, uzuri ndio ilikua gari ya kwanza zile Corona Zina taa ndefu nyuma. CC 1800 hivi. Niliibadilisha rangi baada ya hiyo ajali.

Nyingine ni pale makutano ya barabara inayoelekea daraja jipya na hii inaenda ubalizi wa Kenya. Tulikosanakosana na jamaa pale nikiwa mwendo wa 160 tu. Gari iluenda kuzima yenyewe baada ya kukwepa nguzo mawe na visiki sikuamini kama tumetoka salama.
 
Corona premio with a 7A engine.
Pia unapokosea ni kukimbia mjini kwa kutumia gari inayochelewa kuchanganya.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Wale jamaa wa STL na Wajamaa wa plate number za Blue na wachache wa Kijani...
Salute sana!!
 
Wanasema na gearbox ( aina ya gearbox ) inachangia kitu kuchomoka chap chap plus other technology ambazo zipo Kwa engine
Hii kitu nimefuatilia ni kweli, kama Lexus IS35O ya gia 6 iko more faster kuliko ya gear 8! Generations za 2OO6-2O11.

Lexus IS35O inatembea O-6O kwa less than 5 secs ila generations za kuanzia 2O12 ziko a bit laggy.
 
Hio ameikuta kwenye mkorosho, aidha GX1OO flani au baluni namna A!

Kuagiza sahizi kwa bei zilivyo sokoni uikute kwenye Celica au GX11O bei ni mkasi sana.
Ila mimi mpaka sasa nikiziona Chaser Avenger roho inafanyaa paa..

NB:Zile zilzo nyooka napenda sana shoo ya mbele imekaa kibabe
 
Kazi hii nzuri sana kwa usiku dar to mby

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Duh uzuri wa JF kila mtu ameshaendesha Gari mitaa ya Autobahn pale,kiasi Kwamba mtu akisema aliendesha Kati ya 180-190kph mnaona Ni kawaida Saana.

Salimia hapo YouTube mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…