jana natoka mbezi mchana hakukuwa na nyange nyange kibati tuu ilikuwa saa 10 jioni road nyeupe ni full kibati tuu ππ[emoji23][emoji23][emoji23]
You tube nlikuwa huko miezi miwili iliyopita hivi sasa nipo kama week mbili hivi twitter baridi sana huku.... Barabara za huku ni za ukweli siyo kama za TZ.Duh uzuri wa JF kila mtu ameshaendesha Gari mitaa ya Autobahn pale,kiasi Kwamba mtu akisema aliendesha Kati ya 180-190kph mnaona Ni kawaida Saana.
Salimia hapo YouTube mkuu.
πππ Wasalimie pande hizo mkuu.You tube nlikuwa huko miezi miwili iliyopita hivi sasa nipo kama week mbili hivi twitter baridi sana huku.... Barabara za huku ni za ukweli siyo kama za TZ.
"Wenzetu".Sifa moja ya waafirca ni kujisifia vitu vya kipumbavu wanavyovifanya,
Maisha yako hayana Mbadala, ndio maana wenzetu waliotuzidi maarifa huwezi kukuta anacheza na uhai wake aghalabu kujisifia ujinga kama wewe!!
Mbona hapa tanzania tuna Autobahn za mchongo nyingi ni wewe kukunja goti πππππ Wasalimie pande hizo mkuu.
Anazungumzia wenzake huyo ππ"Wenzetu".
Ni wakina Nani hao?
waliotuzidi maarifa"Wenzetu".
Ni wakina Nani hao?
Na wao wenyewe wakaweka mpk speed zaidi ya 300km/h kwny magari hayo hayo wanayotuuzia sisi tusio na maarifa.waliotuzidi maarifa
Babu kupanga ni kuchagua....Na wao wenyewe wakaweka mpk speed zaidi ya 300km/h kwny magari hayo hayo wanayotuuzia sisi tusio na maarifa.
ππ hizo zina wenyewe mkuu.Mbona hapa tanzania tuna Autobahn za mchongo nyingi ni wewe kukunja goti ππ
Sure,na ndio maana 'wenzetu' wa hapa JF wao wamechagua kumwaga moto tu road.Babu kupanga ni kuchagua....
kuna ki Autobahn kimoja kutokea gairo hadi pale kwenye kizuizi cha chalinze mbuzi mbele ya kongwa .. pale huwa ni kufunguka tu hakuna nyange nyange wakuda.. japo kuna matuta ya kuharibu gari na mashimo ya kuchana tyre kama hujayakalili usijaribu safari inaweza ishia hapo hapo ππππ hizo zina wenyewe mkuu.
kazi ya barabara ni moja wapo kumwagiwa na moto na michelin, dunlop, linglong, roadcruz , boto ππSure,na ndio maana 'wenzetu' wa hapa JF wao wamechagua kumwaga moto tu road.
Picha linaanza kila tukiona trafki mbele lzm tupigwe mkono badae mcongo akasema asimami tena oyaaah we kilichofata iyo ndege ilivokua inapepea[emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaah nimecheka kichizi wallah "Ile kutizama dashboard mshale huuoni"
NB: madereva wa IT sio watu wazuri kabisa.
Hakuna kitu kama hicho nduguBasi ungejua kuwa kwenye hizi Toyota huwa inazidi kidogo 180 especially hizi Crown au Mark X
Sawa.Hakuna kitu kama hicho ndugu
Ha ha haaa mwanangu yupo hivyo asione gari mbele anaitamani ha ha haaHapana experience sio sababu... ila ni hobbie tu. Mie nilianza kupenda speed tokea nikiwa mdogo nilikuwa namwambia baba yangu mpite huyo wa mbele. Yani nilikuwa sitak kuona gari mbele yangu.
Gari milion moja mkuu ? πYenye engine gani mkuu? Ila hizi za 1G kavu na 1G-FE ndio bei rahisi zaidi. Na iliyosimama kabisa ambayo ina body kali ni milion 3 hadi 3 na kitu, ila zipo hadi za kuanzia milion 1 na kitu.