Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 17,003
jana natoka mbezi mchana hakukuwa na nyange nyange kibati tuu ilikuwa saa 10 jioni road nyeupe ni full kibati tuu 😁😁[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jana natoka mbezi mchana hakukuwa na nyange nyange kibati tuu ilikuwa saa 10 jioni road nyeupe ni full kibati tuu 😁😁[emoji23][emoji23][emoji23]
You tube nlikuwa huko miezi miwili iliyopita hivi sasa nipo kama week mbili hivi twitter baridi sana huku.... Barabara za huku ni za ukweli siyo kama za TZ.Duh uzuri wa JF kila mtu ameshaendesha Gari mitaa ya Autobahn pale,kiasi Kwamba mtu akisema aliendesha Kati ya 180-190kph mnaona Ni kawaida Saana.
Salimia hapo YouTube mkuu.
😄😄😄 Wasalimie pande hizo mkuu.You tube nlikuwa huko miezi miwili iliyopita hivi sasa nipo kama week mbili hivi twitter baridi sana huku.... Barabara za huku ni za ukweli siyo kama za TZ.
"Wenzetu".Sifa moja ya waafirca ni kujisifia vitu vya kipumbavu wanavyovifanya,
Maisha yako hayana Mbadala, ndio maana wenzetu waliotuzidi maarifa huwezi kukuta anacheza na uhai wake aghalabu kujisifia ujinga kama wewe!!
Mbona hapa tanzania tuna Autobahn za mchongo nyingi ni wewe kukunja goti 😁😁😄😄😄 Wasalimie pande hizo mkuu.
Anazungumzia wenzake huyo 😁😁"Wenzetu".
Ni wakina Nani hao?
waliotuzidi maarifa"Wenzetu".
Ni wakina Nani hao?
Na wao wenyewe wakaweka mpk speed zaidi ya 300km/h kwny magari hayo hayo wanayotuuzia sisi tusio na maarifa.waliotuzidi maarifa
Babu kupanga ni kuchagua....Na wao wenyewe wakaweka mpk speed zaidi ya 300km/h kwny magari hayo hayo wanayotuuzia sisi tusio na maarifa.
😄😄 hizo zina wenyewe mkuu.Mbona hapa tanzania tuna Autobahn za mchongo nyingi ni wewe kukunja goti 😁😁
Sure,na ndio maana 'wenzetu' wa hapa JF wao wamechagua kumwaga moto tu road.Babu kupanga ni kuchagua....
kuna ki Autobahn kimoja kutokea gairo hadi pale kwenye kizuizi cha chalinze mbuzi mbele ya kongwa .. pale huwa ni kufunguka tu hakuna nyange nyange wakuda.. japo kuna matuta ya kuharibu gari na mashimo ya kuchana tyre kama hujayakalili usijaribu safari inaweza ishia hapo hapo 😁😁😄😄 hizo zina wenyewe mkuu.
kazi ya barabara ni moja wapo kumwagiwa na moto na michelin, dunlop, linglong, roadcruz , boto 😁😁Sure,na ndio maana 'wenzetu' wa hapa JF wao wamechagua kumwaga moto tu road.
Picha linaanza kila tukiona trafki mbele lzm tupigwe mkono badae mcongo akasema asimami tena oyaaah we kilichofata iyo ndege ilivokua inapepea[emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaah nimecheka kichizi wallah "Ile kutizama dashboard mshale huuoni"
NB: madereva wa IT sio watu wazuri kabisa.
Hakuna kitu kama hicho nduguBasi ungejua kuwa kwenye hizi Toyota huwa inazidi kidogo 180 especially hizi Crown au Mark X
Sawa.Hakuna kitu kama hicho ndugu
Ha ha haaa mwanangu yupo hivyo asione gari mbele anaitamani ha ha haaHapana experience sio sababu... ila ni hobbie tu. Mie nilianza kupenda speed tokea nikiwa mdogo nilikuwa namwambia baba yangu mpite huyo wa mbele. Yani nilikuwa sitak kuona gari mbele yangu.
Gari milion moja mkuu ? 😅Yenye engine gani mkuu? Ila hizi za 1G kavu na 1G-FE ndio bei rahisi zaidi. Na iliyosimama kabisa ambayo ina body kali ni milion 3 hadi 3 na kitu, ila zipo hadi za kuanzia milion 1 na kitu.