Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

Duh uzuri wa JF kila mtu ameshaendesha Gari mitaa ya Autobahn pale,kiasi Kwamba mtu akisema aliendesha Kati ya 180-190kph mnaona Ni kawaida Saana.

Salimia hapo YouTube mkuu.
You tube nlikuwa huko miezi miwili iliyopita hivi sasa nipo kama week mbili hivi twitter baridi sana huku.... Barabara za huku ni za ukweli siyo kama za TZ.
 
😄😄 hizo zina wenyewe mkuu.
kuna ki Autobahn kimoja kutokea gairo hadi pale kwenye kizuizi cha chalinze mbuzi mbele ya kongwa .. pale huwa ni kufunguka tu hakuna nyange nyange wakuda.. japo kuna matuta ya kuharibu gari na mashimo ya kuchana tyre kama hujayakalili usijaribu safari inaweza ishia hapo hapo 😁😁
 
Nimembuka
Speed ilinikost sana nilikuwa kidato enzi hizo
Nikakodi piki piki mimi na jamaa yangu
Jamaa yangu ye kaendesha fresh tu ikafika zamu yangu
Nikajifanya naweza moto GP aisee tulidondoka matokeo yake show ya mbele ikawa nyang'anyang'a laki ikachomoka kama utani
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Daaah nimecheka kichizi wallah "Ile kutizama dashboard mshale huuoni"

NB: madereva wa IT sio watu wazuri kabisa.
Picha linaanza kila tukiona trafki mbele lzm tupigwe mkono badae mcongo akasema asimami tena oyaaah we kilichofata iyo ndege ilivokua inapepea[emoji119]

Kuna mchizi alikua mkimya sana kwenye gari ile tumeshuka ananiambia jirani afadhari tumeshuka salama alijua leo ndio mwisho wetu kuwa hai.
 
Hapana experience sio sababu... ila ni hobbie tu. Mie nilianza kupenda speed tokea nikiwa mdogo nilikuwa namwambia baba yangu mpite huyo wa mbele. Yani nilikuwa sitak kuona gari mbele yangu.
Ha ha haaa mwanangu yupo hivyo asione gari mbele anaitamani ha ha haa
 
Jana wazee nmekalishwa na ka-Benz kadogo dogo hivi hata model yake nimeshindwa kuielewa nikiwa na Alphard njia kutokea Manyoni kuelekea Dodoma. Nilikuwa natembea na 170kph ila jamaa alinipita kama nimesimama. [emoji1316]
20220722_094843.jpg
View attachment 2299566
 
Yenye engine gani mkuu? Ila hizi za 1G kavu na 1G-FE ndio bei rahisi zaidi. Na iliyosimama kabisa ambayo ina body kali ni milion 3 hadi 3 na kitu, ila zipo hadi za kuanzia milion 1 na kitu.
Gari milion moja mkuu ? 😅
 
Back
Top Bottom