Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

nakumbuka nishawahi fika 200kph kipande cha iringa -makambako panashawishi sana pale ukiwa na gari kubwa maana barabara imenyooka unaiona kilometres 15 mbele
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1316]
Huko mie naweza nikafa kwa kweli maana nitalazimisha nimalize 260 ya mjerumani
 
HIY
Mleta mada mimi naomba niulize kitu..hio GX100 uliifanyia modification na kuweka hio turbo? Maana JZX100 ndo ina 1JZGTE...nirudi kwenye point mimi speed kubwa ni 170KPH Altezza 3SGE sehemu mbili moja ukiwa unaitafuta kitonga baada ya kuimaliza iringa sehemu ya pili ni mikumi mbugani hii siku niliiacha Range Rover..ya 2014..na sehemu ingine ukishamaliza mikumi kutafuta vijiji vya mangae/mangai😀😀😀
O RANGE SI KWAMBA ULIIACHA KWA KUDHANI KWAMBA UNA ENGINE YENYE UWEZO LA ASHA, ULIMUACHA KWA KUWA HAKUPENDA LIGI NAWE NA MARA NYINGI HIZI RANGE UENDESHWA NA WAZEE.. ALTEZA NA SUBARU MARA NYINGI UENDESHWA NA VIJANA... RIKA ILI UPENDA LIGI KTK NYANJA ZOTE ZA KIMAISHA.
 
Kuna siku nilikuwa natoana jasho na ile bin salum nyeupe mpya! Gafla ilitokea MAN moja ya Burundi ikatupoteza na hatukuiona tena!!!

Nilikuwa 120 ila tulipitwa kama tunapark[emoji28][emoji28][emoji28]

Sorry kwa kwenda nje ya mada mkuu..
 
Kuna siku nilikuwa natoana jasho na ile bin salum nyeupe mpya! Gafla ilitokea MAN moja ya Burundi ikatupoteza na hatukuiona tena!!!

Nilikuwa 120 ila tulipitwa kama tunapark[emoji28][emoji28][emoji28]

Sorry kwa kwenda nje ya mada mkuu..
Kama ulikuwa na hizi howo sawa ila ungekuwa na scania/volvo/benz mngesumbuana njia gani boss.
 
200 kwa barabara niliyokuwa naifahamu vizuri ila siku hizi nafika kwenye 160 kwenye overtaking alafu nashusha mpaka 150 kwenye barabara nazozifahamu, barabara nisizozifahamu natembea kwenye 120 hadi 140 kwa tahadhari na ni wakati ambao si wa giza.
 
Back
Top Bottom