American nigga
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 673
- 974
VW Touareg Speed 250, Muziki una speed 300
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah aaah aaah watu wa alteza wanajisahau saana... Wanahusi sport car na kelele mingi ndio wamemaliza....Speed 220 - BMW 5 Series, Njia ya Arusha to Namanga.
Ilikuwa mashindano ya magari na wapumbavu wa Alteza wakiamini ile movie ya Transporter BMW ilikuzwa.
180 nimepiga sana Dodoma - Kondoa kwa Harrier. Honestly sijawahi feel huu wepesi watu hua wanasema. Nikiwa na haraka mwendo wangu wa kawaida hua ni 140-160.Nyepesi sana.
Kufika 180 na harrier kunahitaji ujasiri.
Tofauti ya diesel na petrol ni kuchanganya tu. Sehemu utamuacha Diesel ni zile mnatakiwa kupunguza speed.At some point diesel cars zenye same horses na petrol, diesel anamchakaza petrol hasa kama hakuna straight line.
Sure thing alafu alteza ina sound mbovu sana haijawahi nishawishi kitu ni subaru aisee hasa ukute imprezza wrx imekubali sound[emoji119][emoji119]Aaah aaah aaah watu wa alteza wanajisahau saana... Wanahusi sport car na kelele mingi ndio wamemaliza....
Juzi tu nimetoka kujambisha mtu. Ana alteza mi nilikuwa na brevis kati kati ya jiji. Ila kamata rufaa anasema tutafute safari... Nimemuambia mi sio mtu wa maspeed.
Starehe gani Sasa na Cresta?Dogo punguza makasiriko. Kila binadamu na ulevi wake. Walioweka hizo speed ni hayo 'majitu mazima' na yana akili mara bilioni yako.
Wengine hata tukiendesha Vitz tunaburudika.Starehe gani Sasa na Cresta?
Same to me,nilipanda IT uelekeo Mbeya(mark x) yule dereva alikuwa mchaga aged kidogo,mimi nilikuwa mbele nyuma kulikuwa na wamalawi wawili mke na mume jamaa tulianza mshtukia uendeshaji wake toka moro,baada ya kupita ruaha mbuyuni tulikoswa na fuso tukapiga kelele wakaniambia anipe niendeshe mimi anaonekana anasinzia la sivyo tutamripoti akakaza,kabla ya kitonga tena kidogo tutoke nje ya barabara hadi mwenyewe akaridhia tumpokee,mimi nilikataa yule mmalawi akashika asukani dah jamaa alikuwa anaenda mpka 170 na utulivu wa hali ya juu.Tulishuka uyole tukamwacha akiendelea lusaka.Juzi kati nimepanda IT usiku nikasinzia gafla usingizini nahisi kama ninapaa nastuka kuangalia dashboard mshale siuoni kutazama kwa umakini naona umelalia upande wa kulia tunatembea katikati ya barabara nikahisi uyu mcongo anataka kutuua sikulala tena mpk kunakucha
2gr iko vizuri ila sio kwa mercedes amg spec haswa hizo za 6.3 kibako ambacho 2gr itapokea hutokaa usahau.😂😂😂Huyo kumfuata labda uwe na 2GR iliokatwa kamba yani! Kama ile masterplan ikikaa vizuri itabidi tuweke kichwa kimoja maalum kwa ajili ya kukata kamba za mjapan.
Itakuwa entry strategy nzuri kwenye soko.
Ni kuionea mzee AMG 6.3 ni level ingine2
2gr iko vizuri ila sio kwa mercedes amg spec haswa hizo za 6.3 kibako ambacho 2gr itapokea hutokaa usahau.
ila hiyo hiyo 2gr ikikutana subaru sti stock (haijachokonolewa) sti inakaa vizuri tu.Ni kuionea mzee AMG 6.3 ni level ingine
STi hawezi mziki wa 2GR tena ukute ni ile ya 260kph version. Hamna STi yenye more than 280HP hata ichokonoleweje.Kabisa mkuu
ila hiyo hiyo 2gr ikikutana subaru sti stock (haijachokonolewa) sti inakaa vizuri tu.
Hapana mkuu sti ni rahisi sana kuiacha 2gr ikishakuwa modified tena kwa simple mods tu kama air intake, exhaust na tune tu. 260kph bila horses za kutosha ni ndoto kuifikia. Subaru kwakuwa ina turbo ina advantage kubwa sana maana unaweza ukaimodify ikafika mpaka hp500 ila kwa 2gr sio rahisi maana yenyewe kiasili ni naturally aspirated engine sio rahisi kuifanya ifike hata hp 350 bila aidha kuiweka supercharger au turbo kitu ambacho kitakucost hela nyingi halafu powergain kidogo unlike sti. Ila kuna jamaa yuko Dom huko ana 2gr yenye dash yenye 260Kph analeta utata analiwa timing aje Dar,STi hawezi mziki wa 2GR tena ukute ni ile ya 260kph version. Hamna STi yenye more than 280HP hata ichokonoleweje.
Ukija kwa 2GR Stock ni 310HP hio haina mbambamba. Ni moto wa kuotea mbali.
2GR stock inacheza 300+hp..Kumaliza hiyo dashboard ni kazi nyepesi sana kwake..!Hapana mkuu sti ni rahisi sana kuiacha 2gr ikishakuwa modified tena kwa simple mods tu kama air intake, exhaust na tune tu. 260kph bila horses za kutosha ni ndoto kuifikia. Subaru kwakuwa ina turbo ina advantage kubwa sana maana unaweza ukaimodify ikafika mpaka hp500 ila kwa 2gr sio rahisi maana yenyewe kiasili ni naturally aspirated engine sio rahisi kuifanya ifike hata hp 350 bila aidha kuiweka supercharger au turbo kitu ambacho kitakucost hela nyingi halafu powergain kidogo unlike sti. Ila kuna jamaa yuko Dom huko ana 2gr yenye dash yenye 260Kph analeta utata analiwa timing aje Dar,
View attachment 2409016
akiwa anapokea kibako nitakuletea video ushuhudie kuwa dashboard bila horses ni cosmetic tuu🙂
mkuu kumbuka sti stock ina 300hp pia, ina upungufu wa cylinder 2 ila inafidiwa na kuwa na turbo. Je umezingatia power to weight ratio?2GR stock inacheza 300+hp..Kumaliza hiyo dashboard ni kazi nyepesi sana kwake..!
Subaru itakuwa faster mwanzoni.. Ila ikifika 200 kwenda 260 Subaru haiwezi kupambana.. Zile 2 extra cylinders za 2GR ndio zinakick in..!
Gari yenye turbo ni sawa na Mwanamke mwenye maumbile kwa kutumia dawa.. Tofauti na (NA) Mwanamke mwenye shepu OG..mkuu kumbuka sti stock ina 300hp pia, ina upungufu wa cylinder 2 ila inafidiwa na kuwa na turbo. Je umezingatia power to weight ratio?
Uko sahihi mkuu power ya NA ipo mfuko wa shati ila ili kupata top end ukiweka tu turbo kubwa with its supporting mods top end inapatikana japokuwa na turbo lag itaingezeka. Ila with mods kama antilag unakuwa umeua mchezo ila again sti ukishaifanya hivyo sio stock tena na ikishakuwa sio stock tayari reliabilty unakuwa umeiweka rehani.Gari yenye turbo ni sawa na Mwanamke mwenye maumbile kwa kutumia dawa.. Tofauti na (NA) Mwanamke mwenye shepu OG..
Kupata 300hp turbo iwe nzima kweli kweli..kuna lags..
Tofauti na NA hiyo power ipo already kwenye engine..
2500cc 4 cylinders vs 3500cc 6 cylinders hapo no match kwenye top end.. Engine ya Subaru itascream sana kumaintain 260 wakati 2GR bado anapuff..!
Power to weight sijazingatia.. Ila nahisi ni propaganda za watengenezaji..
Sure hapo umetisha sana..Uko sahihi mkuu power ya NA ipo mfuko wa shati ila ili kupata top end ukiweka tu turbo kubwa with its supporting mods top end inapatikana japokuwa na turbo lag itaingezeka. Ila with mods kama antilag unakuwa umeua mchezo ila again sti ukishaifanya hivyo sio stock tena na ikishakuwa sio stock tayari reliabilty unakuwa umeiweka rehani.
Kama ingekuwa ni kuchagua between the 2 i would have gone for the 2gr machine kwa ajili ya comfortbality, power na reliabilty. Ila kwenye uwanda wa michezo forced induction engine ina potential kuliko NA
Power to weight ratio sio propaganda ni ukweli. Imagine umefanikiwa kuifunga hiyo 2gr na gearbox yake kwenye starlet unadhani crown au vanguard zitakukamata?