Je, ni vibaya kwa mwanamke kumuomba mwanaume namba za simu?

Je, ni vibaya kwa mwanamke kumuomba mwanaume namba za simu?

Strong and Fearless

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2017
Posts
815
Reaction score
1,983
Je ni vibaya kwa mwanamke kumuomba mwanaume namba ya simu ikiwa mwanume anachelewa na kuona aibu ku make the first move but kila mki bump into each other anakuchekea, anakusifia Ana act as a gentleman, smiling all the time akikuona. Ana anza conversation with you.

Nimevunga kama vile am not interested ila yamenifika shingoni 😅

He is cute though🥰🥰

Anafaa kupelekeshwa, nimeamua ni make the first move potelea pote anione malaya Sijui nini😂😅😅 , sitaki kuishi na regrets by the way we only live once.

Na kujaribu na kutake chances na ku enjoy ni part ya maisha 😋

Kesho ninahakikisha huyu kijana nampata 😋😋😋💦
 
Fanya vile roho yako inapenda, usingoje kuambiwa fanya hiki acha hiki
 
Wapo wanaume ambao hawawezi kuzungumza,na huenda ikawa na yeye anakuhitaji so it’s a good move though mara nyingi wanawake tukianza tunachukuliwa tofauti nimependa ujasir wako.
Kweli dear
Acha nijaribu bahati
Kuliko kufa nalo moyoni
 
Wala hatuwaoni malaya kama mnavyo dhani, mara nyingi tunakuwa happy kweli kuanzwa na mdada, kwenu inakuwa ni kazi ndogo sana kisha sisi ndio tunaendeleza.
 
Muwekee mitego.. ukiona hajiongezi aisee achana nae.. He'll disappoint you.

Mwanaume RIJALI huwa akiwekewa mitego miwili mitatu lazima aingie kwenye mfumo.

Ukiona linachekacheka ujue kuna shida.
 
Back
Top Bottom