Je, ni vibaya kwa mwanamke kumuomba mwanaume namba za simu?

To be Honest don't make the first move,,,, kitaa kuna madam mrembo tu GPS inasoma kuwa ananikubali sana,,,lkn nilitarajia angeleta pozi za kike ambazo tumeshazizoea lkn akaonyesha kuwa mrahisi mapema tu! Hii iliniboa pamoja nakujua kuwa ananipenda lkn si rahisi kihivyo so nikajikuta namshusha thamani

Anyways unaweza kufanikiwa kumpata lkn deep down atajiuliza what a fucking madam!

Atakushusha thamani tu

Tumeshazoea pozi zenu na viusumbufu fulani hivi na ndo raha yake.
 
Good decision. Great move. Watu wanatofautiana sana. Kama unampenda na umeona sifa stahiki unazozihitaji kwa jamaa na una ujasiri. Just try. Make the move. Akileta ujinga unamdondosha chap na kuendelea na safari. Hasara yake.

Mara nyingi wanawake wanaosubiri ule utamaduni wa kutafutwa kama vile wao hawana sifa maalum wanazozitaka huishia kuchangamkiwa na wahuni majasiri walio kwenye misheni kali za kuongeza tick kwenye ubao.
 
Muwekee mitego.. ukiona hajiongezi aisee achana nae.. He'll disappoint you.

Mwanaume RIJALI huwa akiwekewa mitego miwili mitatu lazima aingie kwenye mfumo.

Ukiona linachekacheka ujue kuna shida.
[emoji23][emoji23][emoji23]shida ipii?
 
Je ni vibaya kwa mwanamke kumuomba mwanaume namba ya simu ikiwa mwanume anachelewa na kuona aibu ku make the first move but kila mki bump into each other anakuchekea...
Sio vibaya pengine na yeye anataka ya kwako ila anahofia ataaibika ukimnyima
 
Hii haipo mbali sana na kula tunda kimasiharq, najua ntaona post yake siku mbili tatu hizi akitoa ushuhuda wa kula tunda kimasihara.
 
Je ni vibaya kwa mwanamke kumuomba mwanaume namba ya simu ikiwa mwanume anachelewa na kuona aibu ku make the first move but kila mki bump into each other anakuchekea, anakusifia Ana act as a gentleman, smiling all the time akikuona. Ana anza conversation with you.

Nimevunga kama vile am not interested ila yamenifika shingoni 😅

He is cute though🥰🥰

Anafaa kupelekeshwa, nimeamua ni make the first move potelea pote anione malaya Sijui nini😂😅😅 , sitaki kuishi na regrets by the way we only live once.

Na kujaribu na kutake chances na ku enjoy ni part ya maisha 😋

Kesho ninahakikisha huyu kijana nampata 😋😋😋💦
Lianzishe na hakikisha unampata si dhambi. Mtengenezee mazingira kwa njia haramu akutongoze au mji tu mmekuwa kwenye mahusiano
 
Je ni vibaya kwa mwanamke kumuomba mwanaume namba ya simu ikiwa mwanume anachelewa na kuona aibu ku make the first move but kila mki bump into each other anakuchekea, anakusifia Ana act as a gentleman, smiling all the time akikuona. Ana anza conversation with you.

Nimevunga kama vile am not interested ila yamenifika shingoni 😅

He is cute though🥰🥰

Anafaa kupelekeshwa, nimeamua ni make the first move potelea pote anione malaya Sijui nini😂😅😅 , sitaki kuishi na regrets by the way we only live once.

Na kujaribu na kutake chances na ku enjoy ni part ya maisha 😋

Kesho ninahakikisha huyu kijana nampata 😋😋😋💦
Hutaki akuone nani? Ila unajijua ni nani bila shaka!
 
Je ni vibaya kwa mwanamke kumuomba mwanaume namba ya simu ikiwa mwanume anachelewa na kuona aibu ku make the first move but kila mki bump into each other anakuchekea, anakusifia Ana act as a gentleman, smiling all the time akikuona. Ana anza conversation with you.

Nimevunga kama vile am not interested ila yamenifika shingoni [emoji28]

He is cute though[emoji3059][emoji3059]

Anafaa kupelekeshwa, nimeamua ni make the first move potelea pote anione malaya Sijui nini[emoji23][emoji28][emoji28] , sitaki kuishi na regrets by the way we only live once.

Na kujaribu na kutake chances na ku enjoy ni part ya maisha [emoji39]

Kesho ninahakikisha huyu kijana nampata [emoji39][emoji39][emoji39][emoji97]
Skia shost, is good unachotaka kufanya, but hiyo ya kumtongoza wewe hua inafaa kua last option kabisa incase akikaza fuvu ndo unamface bana me nmekupenda.

kwanza do this

relax ukimeet nae, onesha that girls style, yani in shwahili sjui niiwekeje, ila eg.. kujishaua kidogo, kujifanya staki nataka, vi utani vya hapa na pale kama kumsifia "hiyo trouser umevaa imekupendeza sana, you look amazing and hot[emoji4], i wish nkukumbatie, but girl friend ako atanmaliza akituona"... hii ndo iwe first move, if anakupenda aisee atasema usiogope, mbona me cna girlfriend? huku anajiumauma.... hapo jua yumo[emoji3]

akikaza fuvu , tunakuja 2nd trial

jifanye unaharaka then kuna kitu ulitaka kumshirikisha akushauri, then mwambie nipe namba yako (au mpe yako akutext uisave utampigia ukiwa free...., after that , badae mpigie ukijifanya ushasort issue ulotaka kumuuliza so asijari, then maongezi mengine yafate ya staki nataka, vimdeko nk (hope you know how ladys acts kiutani utani in sms[emoji16], akiwa anaendelea kukaza fuvu hapo nenda 3rd and last time sasa

final move

mpe ukweli atajua yeye "bana (flani) me nakupenda sana since day 1 nmevutiwa na wewe,"

akitaka akubali akitaka aende , mxuuuu[emoji19]

i hope umeelewa shoga angu[emoji23], but nmeshauri tu from experience on how i met baba chanja wangu[emoji16] though me first time tu ilitick na tupo hadi leo wanandoa na children kadhaa[emoji16] so take your time[emoji4]
 
Baelezee. Kwa kazi nizifanyazo huwa mara nyingi naombwa namba ya simu. Bananiambia just so we touch base🤗. Home runs zilikuwa ni nyingi mpaka pale Cheusi Dawa alipotokea.(Hope you're not reading this)Tilelo nalingaka Yo.
 
Lengo ndoa au zinaa? Usije kua tunakufundisha mbinu za kukunyugwa tugawane asilimia za dhambi ya uzinifu, raha upate wewe na njemba yako percent nile mimi ya mzigo wa dhambi

EAZY DUZ IT
 
Skia shost, is good unachotaka kufanya, but hiyo ya kumtongoza wewe hua inafaa kua last option kabisa incase akikaza fuvu ndo unamface bana me nmekupenda.

kwanza do this

relax ukimeet nae, onesha that girls style, yani in shwahili sjui niiwekeje, ila eg.. kujishaua kidogo, kujifanya staki nataka, vi utani vya hapa na pale kama kumsifia "hiyo trouser umevaa imekupendeza sana, you look amazing and hot[emoji4], i wish nkukumbatie, but girl friend ako atanmaliza akituona"... hii ndo iwe first move, if anakupenda aisee atasema usiogope, mbona me cna girlfriend? huku anajiumauma.... hapo jua yumo[emoji3]

akikaza fuvu , tunakuja 2nd trial

jifanye unaharaka then kuna kitu ulitaka kumshirikisha akushauri, then mwambie nipe namba yako (au mpe yako akutext uisave utampigia ukiwa free...., after that , badae mpigie ukijifanya ushasort issue ulotaka kumuuliza so asijari, then maongezi mengine yafate ya staki nataka, vimdeko nk (hope you know how ladys acts kiutani utani in sms[emoji16], akiwa anaendelea kukaza fuvu hapo nenda 3rd and last time sasa

final move

mpe ukweli atajua yeye "bana (flani) me nakupenda sana since day 1 nmevutiwa na wewe,"

akitaka akubali akitaka aende , mxuuuu[emoji19]

i hope umeelewa shoga angu[emoji23], but nmeshauri tu from experience on how i met baba chanja wangu[emoji16] though me first time tu ilitick na tupo hadi leo wanandoa na children kadhaa[emoji16] so take your time[emoji4]
Binti mleta mda zingatia sana hii🖕🖕
 
Je ni vibaya kwa mwanamke kumuomba mwanaume namba ya simu ikiwa mwanume anachelewa na kuona aibu ku make the first move but kila mki bump into each other anakuchekea, anakusifia Ana act as a gentleman, smiling all the time akikuona. Ana anza conversation with you.

Nimevunga kama vile am not interested ila yamenifika shingoni 😅

He is cute though🥰🥰

Anafaa kupelekeshwa, nimeamua ni make the first move potelea pote anione malaya Sijui nini😂😅😅 , sitaki kuishi na regrets by the way we only live once.

Na kujaribu na kutake chances na ku enjoy ni part ya maisha 😋

Kesho ninahakikisha huyu kijana nampata 😋😋😋💦
keypoint

"...............Anafaa kupelekeshwa................"
 
Skia shost, is good unachotaka kufanya, but hiyo ya kumtongoza wewe hua inafaa kua last option kabisa incase akikaza fuvu ndo unamface bana me nmekupenda.

kwanza do this

relax ukimeet nae, onesha that girls style, yani in shwahili sjui niiwekeje, ila eg.. kujishaua kidogo, kujifanya staki nataka, vi utani vya hapa na pale kama kumsifia "hiyo trouser umevaa imekupendeza sana, you look amazing and hot[emoji4], i wish nkukumbatie, but girl friend ako atanmaliza akituona"... hii ndo iwe first move, if anakupenda aisee atasema usiogope, mbona me cna girlfriend? huku anajiumauma.... hapo jua yumo[emoji3]

akikaza fuvu , tunakuja 2nd trial

jifanye unaharaka then kuna kitu ulitaka kumshirikisha akushauri, then mwambie nipe namba yako (au mpe yako akutext uisave utampigia ukiwa free...., after that , badae mpigie ukijifanya ushasort issue ulotaka kumuuliza so asijari, then maongezi mengine yafate ya staki nataka, vimdeko nk (hope you know how ladys acts kiutani utani in sms[emoji16], akiwa anaendelea kukaza fuvu hapo nenda 3rd and last time sasa

final move

mpe ukweli atajua yeye "bana (flani) me nakupenda sana since day 1 nmevutiwa na wewe,"

akitaka akubali akitaka aende , mxuuuu[emoji19]

i hope umeelewa shoga angu[emoji23], but nmeshauri tu from experience on how i met baba chanja wangu[emoji16] though me first time tu ilitick na tupo hadi leo wanandoa na children kadhaa[emoji16] so take your time[emoji4]
Thanks dear for your advice🥰
Ngoja nilifanyie kazi
 
Nipe namba zake Mp nikusaidie kumwambia. 😂 kama ume muelewa mbona simple sana
 
Back
Top Bottom