Je, Ni vitu gani vinatufanya watu weusi tuwe na akili ndogo?

Hiyo ni mind set tu!!
 
Aaah wapi unataka kuniambia kipindi Albert Einstein alikuwa mdogo alikuwa sawa na wewe katika umri huo?

Kuna mwanasayansi alifanya utafiti kuhusu ubongo wa Einstein na aligundua upo tofauti na wa binadamu wa kawaida.

Tafuta hilo somo utalipata.
 
S
Siku zote wenye akili wanazaliwa na uwezo ndani yao ndio maana sio kila mtu ana uwezo wa kufanya makubwa.

Pia wenye akili walionekana kama machizi.. Soma history ya Nikola Tesla hakuoa, alikuwa hawezi kulala chumba kisichogawanyika kwa tatu, alikuwa anazunguka nyumba mara tatu kabla ya kuingia ndani. Means huyu mtu upeo wake ulivuka uwezo wa binadamu wa kawaida na huenda kuna siri alikuwa akifahamu kuhusu ulimwengu ambao sisi wengine hatufahamu.

Ebu Leo msome huyo jamaa kidogo
 
Go back to ancient Africa though imebase Zaidi Egypt /Kemet ... Na Benin Kingdom Na siyo sub Saharan Africa kama ni sub Sahara Africa utakutana Na great Zimb Na Stone Carved Churches of Ethiopia, Labda Kidogo Nubian Civilization ... Huku chini Shaka Zulu na Kilwa Kidogo...
Lakini unakuja kupata jibu kuwa without challenges Hatuwezi kugrow ... Utizame mwambao wa pwani na their Lifestyle ...

Watizame Wachaga nad their ambitious Lifestyle ..Kinga and others ... Igbo Before and after Civil war and before why are they the way they are .. what made them to be like that ... Hardship hardship hardship man...

We are blessed with a curse bro ... Blessed with a curse .. blessed with a curse ...
Ila hii siyo case how are we going to break from that ...
 
Kwa kuanzia tu, nimeajiri watu si chini ya 200 ili waondokane na ufukara, wale washibe na wasomeshe watoto wao.
Nikikueleza mengine utaona nakudanganya!
Hii sio akili ni msaada.

Siwezi kukuweka rank moja na Nikola Tesla, Albert Einstein etc.

We nikuite tajiri aliyeajiri watu 200 na kusomesha wengine.
 
Lakini kwanini tuishi kwa historia?
 
Go to Ancient Greek and their Civilization ,
Msome Plato and his Allegory of the cave .. you'll got to understand us man ..

Nenda msome Prometheus .. and how he stole Fire from God..

And give it to humanity later to be Tortured na some blah blah blah ...

Study human nature ... Go get em fvcking answers ... Alafu .


Utaamua kama unaendelea kubeba Dunia mgongoni mwako/mabegani ama unaipotezea tuu of which kuipotezea siyo rahisiiii..

Akili ambayo ishaonja utamu wa Ideas mpya haiwezi kurudi kwenye dimension iliyokuwepo
 
extended family system
 
Unazaliwa ukiwa mdogo kabisa unaambiwa au kusikia kuwa you can't be rich, you can't beat the odds , you can't become a scientist and other some shit stuffs.

Ukifika Shule unapewa negative words kutoka kwa walimu waliokata tamaa na maisha , ukirudi nyumbani wazazi ni viboko mkononi , ukikaa na watoto wenzako mnawaza simba na yanga , mkienda mbali mnajadili mziki .


Inshort mtu mweusi anazaliwa akiwa ameshajiondoa katika kuwa mbunifu ,kuwaza mambo chanya na kuacha legacy .


So naamini sisi tuna Akili Ila hatujui njia bora za kutumia Akili yetu katika kutoa matokeo chanya tumemezeshwa phobia kuwa mambo magumu wanayaweza watu weupe tu
 
Hivi pale Muhimbili, KCMC, Bugando kuna vitengo vya utafiti?

Au Serikali haijawekeza nguvu katika uwanja wa tafiti? Au wataalamu ndo hawapo?

Aish!!! Maswali ni mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…