Unazaliwa ukiwa mdogo kabisa unaambiwa au kusikia kuwa you can't be rich, you can't beat the odds , you can't become a scientist and other some shit stuffs.
Ukifika Shule unapewa negative words kutoka kwa walimu waliokata tamaa na maisha , ukirudi nyumbani wazazi ni viboko mkononi , ukikaa na watoto wenzako mnawaza simba na yanga , mkienda mbali mnajadili mziki .
Inshort mtu mweusi anazaliwa akiwa ameshajiondoa katika kuwa mbunifu ,kuwaza mambo chanya na kuacha legacy .
So naamini sisi tuna Akili Ila hatujui njia bora za kutumia Akili yetu katika kutoa matokeo chanya tumemezeshwa phobia kuwa mambo magumu wanayaweza watu weupe tu