Je, Ni vitu gani vinatufanya watu weusi tuwe na akili ndogo?

Umejibu vyema sana.
 
1. Elimu mbovu
2. Elimu Mbovu
3. Elimu Mbovu
4. Lishe

 
Ku prove anachosema huyu anayejua technology ya mtu mweusi awake hapa yaani kweli wazungu wamegundua Meli,ndege helicopter ,simu,magari,umeme kujenga magorofa ya kutisha ,Tiba,na za hospital mbalimbali ,upasuaji nk
Sasa mmoja ataje waafrika wanatekonolojia gani? La mwandishi nakupa bigi up
Ila kwa Faida tu mwafrika ,anamajungu ,roho mbaya ,umalaya ,kucheza miziki ,lingala,bongo Freva hizo ,ulevi wa mataputapu nk
 

 
Lakini mbona hata Wazungu wanawaza kuhusu Manchester United na Liverpool?

Sio kwamba uwezo wetu ndo mdogo DR HAYA LAND

Mzungu anazaliwa akiwa anaamini kuwa atafanikiwa .

Pia wazungu wako kila kitu kipo in business wise .

Mfano mtu hawezi kuwa anaamka anachambua mpira ilimradi tu bila kupata chochote wenzetu kule nje wanaanjiri wachambuzi wa mpira na zipo mpaka Shule za kusomea hayo mambo.


Kuhusu kuwaza Man U na Arsenal inategemea na level ambayo umefikia ya ufahamu wenzetu waliwekeza kwanza katika uchumi , sayansi na baadae ndo wakaupa Mpira nafasi ya juu .


Sasa sifikirii Kama sisi waafrica tumeshafika muda wa kupiga starehe kiasi hicho.

Ni Vizuri tukajitafakari Kwa kina pia.
 
Zipo sababu nyingi sana.
Sababu za kibaiolojia, sababu za kimazingira, etc
 
Sijui niseme Uzi ufungwe .. anyway acha Mjadala uendelee
 
Mkuuu hujamjijibu zaidi umemshambilia. Kwa nini tusiweke hoja zenye mashiko.
China nae alikuwa anapangiwa ila ametoka tulipo na hata kuwapita hao mabeberu. Linapokuja hili swali mara nyingi sisi watu weusi tunajibu kwa mihemko ila ukweli ni huo hatuna mchango.
Kama mzungu anaweza kuku manipulate basi hio haitoshi kusema kuwa amekuzidi akil ?
Maoni yangu mimi ni kwamba waafrika IQ ni ndogo sana sijajua bado kwa nini japo kuna viashiria vya lishe duni. Nasema hivi kwa sababu i do the practice of teaching maths and science sasa miaka 20. Wanafunzi wenye uwezo wa kumudu mfano hisabati ktk drs la wafunzi 100 utakuta 3( vijijini).
Sasa ktk hawa 3 nao wanafundishwa kwa mtindo wa kawaida hawapewi hadhi tofauti na hata mtihani utawapima kwa hadhi moja.
Kuna mambo mengi ikiwepo
1. Poor education system
2. Poor political system.
3. Poor motivation
4.Weak leaders.
Viongozi wengi wa Afrila nao wameingia madarakani kiujanja ujanja hawana ubunifu, vision wala uzalendo. Fikiria Raisi wa Ghana aliepita alienda kwa Emmanuel Macron kuomba wamshambulie Traole( jambo la aibu sana na uthibitisho wa IQ ndogo ).
Sijajua kwa nini maraisi wetu wanakosa confidence .
5. Jamii sehemu kubwa ya waafrika imejikatia tamaa kabisa. Hawana hamasa kabisa ya kutoka hapa tulipo, watu hawajifunzi, hawakopi, hawabuni, hawajaribu. Hata vitu rahisi tu kama mashine ya kusaga juisi tunasubiri aunde mchina.
Nitaendelea na mjadala..
 
Tumejizoesha kusaidiwa kwenye mambo mengi.
Kitu kinachofanya akili zetu zinalala.
Tunasubiri mzungu agundue kitu fulani ndiyo tuige. Na tukishindwa kuiga, tunakinunua hicho kitu kwa gharama kubwa ya kuuza maliasili zetu.
Hatuna ujasiri wa kuvumbua vitu vyetu vitakavyotuwakilisha kama wafrika weusi.
 
Kuna mambo mawili:
1: Kuwa na uwezo mdogo wa kutumia akili.
2: Kuwa na akili kidogo(hapa kuna shida ya afya ya akili).

Yote 1 na 2 hapo juu unaweza kuyapata kwa kuzaliwa nayo au kuyatengenezea mazingira baada ya kuzaliwa. Hivyo, tunachokiona kwa mtu ni matokeo kuzaliwa nacho na kuendelea kutengenezewa mazingira au kuondolewa mazingira ya maendeleo.

Kwa mantiki hiyo haya mambo huweza kupatikana kwa sababu moja kuleta mojawapo ya hali husika au kuleta jingine au kuleta yote kwa pamoja.

Ili uweze kuelewa juu ya haya ni vyema kufahamu kuwa uwezo wa akili na kiasi cha akili huweza kusababishwa na:

1: Kiasi cha akili na uwezo wa wazazi(mtoto kurithi).

2: Afya ya mzazi/mama wakati wa ujauzito/lishe.

3: Mazingira ya afya ya akili ya mama wakati wa ujauzito.

4: Mahusiano ya mama na mazingira wakati wa ujauzito.

5: Lishe ya mtoto wakati akiwa mchanga.

6: Lishe ya mtoto wakati anapokua.

7: Uhusiano wa mtoto na wanajamii kama jirani, ndugu na mwalimu nk.

8: Nafasi ya mtoto kujifunza na ku-challenge anayokutana nayo maishani.

9: Mazingira anayokulia mtoto na kumpatia challenge mbalimbali za kidunia.

10: Uwepo wa na utayari wa kumsadia mtoto anapopata challenge zenye kumpatia msukosuko kwake kijumla.

11: Uwepo wa mazingira wezeshi ya mtu kuibuka na kutenda kwa kadri ya uwezo wa akili.

12: Nk.

A: Hivyo, wenye kuwa na uwezo mdogo wa akili wapo pia kwenye mataifa ya wenzetu huko mbele na wasioweza kutumia uwezo wao pia wapo. Ila mazingira yao yamewapa nafasi wanaoweza kutumia akili kujitanabaisha vyema. Sisi hata kama una uwezo mzuri unaweza kujikuta mazingira hayakuruhusu kujipambanua na yale uliyonayo. Tunafuata yaliyopo kuliko kutafuta mapya.

B: Kulingana na maelezo kule juu, unaweza kumchukua mtu ambae anaonekana wa kawaida huku kwetu, akaenda kuwa Genius huko mbele kwa wenzetu kwa mazingira yaliyopo.
 
We kufa tu kama una mawazo ya kufuatilia mambo ya mwingine.
 
Nadhani serikali nayo haijaweka nguvu katika suala zima la utafiti.
Serikali inawekaje nguvu wakati inaongozwa na mediocre, yaani ile image unayoiona pale juu kabisa, ndio reflection halisi ya mwananchi wa kawaida. Ndio maana, let's be honest, hata aongoze nani, hata tubadilishe chama, wote mindsets zetu ni sawa. Siku akitokea mtu anawaza mbali, mwenye uwezo mkubwa wa kufanya mambo, sisi ndio tutamshangaa kwamba huyu vipi mbona anatuharibia utaratibu wetu...
 
Lakini ujue mpira umeanzia kwa wenzetu pia.
 
Safi⭐✊
 
We kufa tu kama una mawazo ya kufuatilia mambo ya mwingine.
Kufa kila mtu atakufa.

Nitaanza Mimi halafu Wewe,
Au utaanza Wewe halafu Mimi.

Kifo hakiepukiki ni kikombe ambacho kila mmoja atainywa Kwa mda wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…