DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mbona wahaya kule Bukoba hawali huo ugali Ila mbongo zao hazifanyi Kazi kisawa sawa?1. THE USE OF UGALI AS A MAJOR FOOD IN MOST AFRICAN COUNTRIES...HILI NDILO LIMEDUMAZA AKILI ZA WA BONGO WENGI.
Huo ndio uwezo wako sasa .Kufa kila mtu atakufa.
Nitaanza Mimi halafu Wewe,
Au utaanza Wewe halafu Mimi.
Kifo hakiepukiki ni kikombe ambacho kila mmoja atainywa Kwa mda wake.
Duuh😅😅Ugali
Shangaa nchi ina Madaktari wenye PHD ila wanazidiwa utafiti na waganguzi wa mitishamba.Twende mbele turud nyuma watu weusi akili zetu kama zimefumbwa sisi tunasubir tuletewe had maneno😀
Waafrika tunaendekeza miujiza ya dini badala ya kufanya kazi Kwa bidiiAu mafuta ya Mwamposa ndo yanafanya watu wawe mbulula 😅
Elimu tumeletewa tukariri sio yakuweza kuleta mabadiliko kwetuShangaa nchi ina Madaktari wenye PHD ila wanazidiwa utafiti na waganguzi wa mitishamba.
Yani kitendo cha TRUMP kuteta Afrika yote ilitetemeka 😂😂 kama hatuna Madaktari vile😭😂😂
Alooooh tutafika tumechoka sana.
Wahaya, wanyakyusa,wachaga Hawa wapo kwenye uongozi na sekta mbali mbali na ndio makabila yenye wasomi wengi na watu wenye akili.Mbona wahaya kule Bukoba hawali huo ugali Ila mbongo zao hazifanyi Kazi kisawa sawa?
Kwanza huyo Mungu hayupo.Mungu ametoa freewill ya equal opportunity kwa watu wote duniani.
Waafrika wana upumbavu wa milele.Akili aina race Wala jinsia akili ni empty set isiyojaa unaweza ijaza chochote ukitakacho kwa kuona au kusikia.
Shida ipo kwenye mazingira yetu changamoto ndio uleta akili.
Africa maisha ni rahisi thus changamoto ni ndogo za kukuza akili.
Hapo kwenye akili napinga.Mtu mweusi hajawhi kuwa na akilli,hana akili na hata wahi kuja kuwana akili.Unazaliwa ukiwa mdogo kabisa unaambiwa au kusikia kuwa you can't be rich, you can't beat the odds , you can't become a scientist and other some shit stuffs.
Ukifika Shule unapewa negative words kutoka kwa walimu waliokata tamaa na maisha , ukirudi nyumbani wazazi ni viboko mkononi , ukikaa na watoto wenzako mnawaza simba na yanga , mkienda mbali mnajadili mziki .
Inshort mtu mweusi anazaliwa akiwa ameshajiondoa katika kuwa mbunifu ,kuwaza mambo chanya na kuacha legacy .
So naamini sisi tuna Akili Ila hatujui njia bora za kutumia Akili yetu katika kutoa matokeo chanya tumemezeshwa phobia kuwa mambo magumu wanayaweza watu weupe tu
Kwa nadharia yako na sio school of thought zingine.Kwanza huyo Mungu hayupo.
Hakuna Mungu.
Hakuna freewill.
Waafrika wana upumbavu wa milele.
Hawa tunawaita the transformer kazi yao ni kuhamisha new ideas kutoka outworld to kuzileta duniani kama afanyavo Elion musk wanaitwa reptile people au lizard peopleS
Siku zote wenye akili wanazaliwa na uwezo ndani yao ndio maana sio kila mtu ana uwezo wa kufanya makubwa.
Pia wenye akili walionekana kama machizi.. Soma history ya Nikola Tesla hakuoa, alikuwa hawezi kulala chumba kisichogawanyika kwa tatu, alikuwa anazunguka nyumba mara tatu kabla ya kuingia ndani. Means huyu mtu upeo wake ulivuka uwezo wa binadamu wa kawaida na huenda kuna siri alikuwa akifahamu kuhusu ulimwengu ambao sisi wengine hatufahamu.
Ebu Leo msome huyo jamaa kidogo
Hakuna nguvu yeyote inayo control maisha yetu.Kwa nadharia yako na sio school of thought zingine.
Unaposema hakuna freewill unamaanisha maisha yako unacontroliwa na nguvu iliyo kinyume nawe
Endelea na hizo imani zako na siko tayari kukuruhusu uniambukize.Sasa wewe una akili gani hapo ulipo kumzidi mzungu zaidi ya za kuvukia barabara..
Hizo imani zako jihusishe nazo wewe na wazazi wako na siyo kunijumhisha mimi.We mpaka hapo umefanya nini?
Siongelei masomo, Maana kwa sasa wenye degree ni wengi. Sasa kama unadhani kufaulu masomo ndo akili ninayoongelea hapa pole.