Kuna Ukweli mchungu Sana kuhusiana na suala hili, hata kama watu weusi wenyewe watakataa namna gani kuhusiana na Hoja hii, lakini Ukweli mchungu bado unabaki kuwa huo. Whether you like or not!
Endelea na hizo imani zako na siko tayari kukuruhusu uniambukize.
Nenda Morogoro mtaa wa Mazibu B kuna Wazungu wenye asili ya Greek labda utawafahamu Wazungu kwa mapana.
na ndio kitu ambacho watu wanazidiana. Hata ukija kwenye tofauti kati ya Waafrika na Wazungu, utagundua Waafrika wana ufahamu mdogo kulinganisha na Wazungu.
Hii siyo kuhusu 'akili ndogo', bali ni kuhusu ufahamu (awareness)