Je, ni wana hiphop gani wameweza kutisha au kufanya vizuri hapa Afrika?

Je, ni wana hiphop gani wameweza kutisha au kufanya vizuri hapa Afrika?

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
31,913
Reaction score
65,514
Kwenye kiwanda cha Hiphop Tumekuwa tukishuhudia vipaji vingi na uandishi mzuri wa mashairi.

Kuanzia kizazi Cha kina Tupac, rakims, jada, Jay z, eminem, Wayne na hata N.big.

👉Ambao wamekuwa wakitajwa Kama mafundi wa mashairi ya mazuri.

Lakini Leo nimeona tuangazie je ni Wana hip hop gani wame weza kutisha au kufanya vizuri hapa Africa?

👉Sarkodie, fid q, Jay Moe, Nasty C, Juma Nature, Khaligraph Jones, Mi Abaga, Young Killer Msodoki, AY, Proffessa Jay?

FB_IMG_16882164952802232.jpg

FB_IMG_16882164662914105.jpg

FB_IMG_16882164195927907.jpg
 
Muulize davido, who's Joh Makini
Joh Ni mwanahiphop pekee East Africa kufanya vizuri akiwa na producers wengi tofauti na wengine wachanga kabisa
Anzia kwa Ludigo, Roy, Shakii, Dunga, Nahreal, yuddi, Pancho latino, hermy b, luffa.

Joh alimkataa p funk live, akaopt kuendelea kupambana na Roy na akatoboa.

Hao uliotaja wangepita njia za joh hakuna hata mmoja ungemsikia.
Pamoja na kupita hizo njia na kutoboa hakuna atayeweza kuandika ngoma Kama;
Hao
chochote popote,
hawapendi,
Niaje nivipi
Stimu zimelipiwa
Karibu tena,
Kilimanjaro,
Bye bye
Manuva
Nikumbatie
Kata leta
Perfect combo
Don't bother
Waya
 
📌🔨 NAKAZIA
 
Back
Top Bottom