Je, ni wana hiphop gani wameweza kutisha au kufanya vizuri hapa Afrika?

Je, ni wana hiphop gani wameweza kutisha au kufanya vizuri hapa Afrika?

Wizkid star boy ni mwana muziki mzuri afrika japo hafanyi hip hop ni afro pop, namkubali Sana. 🌚🌚🌚
 
Koh Koh Koh....
yaw yaw yaw....
JESHIIIIIIIIII......
konde boyyyyy.....

harmonize ni mwana hip hop bora afrika 2050. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji276][emoji276][emoji276][emoji1782][emoji1782][emoji1782]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaaaaaaaaa!!!!!!
 
Kontawa ndio msanii bora wa hip hop. 🤡🌚🤢
 
Muulize davido, who's Joh Makini
Joh Ni mwanahiphop pekee East Africa kufanya vizuri akiwa na producers wengi tofauti na wengine wachanga kabisa
Anzia kwa Ludigo, Roy, Shakii, Dunga, Nahreal, yuddi, Pancho latino, hermy b, luffa.

Joh alimkataa p funk live, akaopt kuendelea kupambana na Roy na akatoboa.

Hao uliotaja wangepita njia za joh hakuna hata mmoja ungemsikia.
Pamoja na kupita hizo njia na kutoboa hakuna atayeweza kuandika ngoma Kama;
Hao
chochote popote,
hawapendi,
Niaje nivipi
Stimu zimelipiwa
Karibu tena,
Kilimanjaro,
Bye bye
Manuva
Nikumbatie
Kata leta
Perfect combo
Don't bother
Waya
True fan wa joh...umesahau kuongezea Tanzanite mkuu kwenye list yako
 
Alafu hizo nyimbo zilikua kubwa kuliko kawaida, zilipigwa na kila radio, clubs hadi uchochoroni.
Hakuna msanii wa hiphop mwenye hit somga nyingi kuliko Joh, wengi huwa na 3 au 4. Joh anazo 10
Sikumbuki kutoa nyimbo mi natoaga hit
 
Huyo jamaa anapenda kuwapa promo watu wa Kaskazini haijalishi ni mbovu kiasi gani
Sio kweli. Fidovato ni wa kaskazini lakini mbona ni msanii mbovu sana, hawezi kumfikia hata manengo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uwiiiiiii!!! Bro mbavu zinauma bas inatosha
Cute wife.....
ALIVYO niona aliwaka ila mwisho alizima,
Bana niliomba mechi akanipatia mtima,
Yaani niliomba nusu akanipatia nzima,
Safari ilianzia Mwanza naimalizia China. 😄😄😄😄
 
Back
Top Bottom