Je, ni wana hiphop gani wameweza kutisha au kufanya vizuri hapa Afrika?

Je, ni wana hiphop gani wameweza kutisha au kufanya vizuri hapa Afrika?

List ndeeefu ila inasikitisha hajatajwa MWANA HIPHOP.

ukisema juma nature anafanya hiphop umeikosea heshima hiyo sanaa.

Turudi ktk mstari.

Hiphop kwa Tz inafanywa na wale wanaharakati wanaofanya mziki usio wa biashara zaidi. Otherwise wengine wote wanaingia ktk mtumbwi wa Bongofleva.
 
Sio nyimbo yake yoyote, naweza kuandika kwenye nyimbo zake zote unazojua.

Nimekuuliza kwa nni davido aliitafuta sana collabo na joh?
Dah Kaka ko una maanisha Davido alitaka kupushiwa na joh🙄😂🤣
👉Ambaye Davido Huyo alitoka kuperfom uk show ya watu 80k
👉Alichukua tuzo ya na afrimaa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kasikilize hizo nyimbo kwanza
Alafu hizo nyimbo zilikua kubwa kuliko kawaida, zilipigwa na kila radio, clubs hadi uchochoroni.
Hakuna msanii wa hiphop mwenye hit somga nyingi kuliko Joh, wengi huwa na 3 au 4. Joh anazo 10
 
Dah Kaka ko una maanisha Davido alitaka kupushiwa na joh[emoji849][emoji23][emoji1787]
[emoji117]Ambaye Davido Huyo alitoka kuperfom uk show ya watu 80k
[emoji117]Alichukua tuzo ya na afrimaa
Unahisi kwa nini davido alimtafuna sana joh? Tena ilifikia kipindi alikua akimtafuta hadi dm kule Instagram
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama una chuki, vaa miwani usione gere
Weusi hatuna kweree

Bro mbona kashfa tena?? Nini mbaya [emoji16][emoji16]
Hiyo gere wala sijaigusia kwenye hit list ya Joh.

Bongo records majani akiwa na chawa wake miaka hiyo walienda kumshawishi aingie bongo records. Akachomoa, akaamua kuendelea kupambana na marehemu Roy Bukuku
 
Koh Koh Koh....
yaw yaw yaw....
JESHIIIIIIIIII......
konde boyyyyy.....

harmonize ni mwana hip hop bora afrika 2050. 😄😄😄🌚🌚🌚🤡🤡🤡
 
Back
Top Bottom