Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
My point is, Africa hakuna wana hiphop..Bro Zina charge kichwani ?? Burna ana fanya hip hop??
View attachment 2675176
Nasty c, khaligraph Jones na kina shaya wallet Wana imba taarabu?My point is, Africa hakuna wana hiphop..
Wanadankidanki tuuNasty c, khaligraph Jones na kina shaya wallet Wana imba taarabu??
Duh Luna watu huwa man chekesha, shida husilizi mpaka bet wali waita kwenye tuzo ??Wanadankidanki tuu
Acha upumbavu,ivi disaster vina mnamuacha wap? NyieYoung lunya is coming mdogo mdog anajua sana
Jamaa ana jua Sana, japo label aliyosaini ya defjam inamkaziaNasty C
Kamuulize tena davido kwa nini alitaka sana collabo na JohCountrywide Huyo David mwenyewe ana wakubali nasty c na sarkodie.
[emoji117]Halafu Huyo joh hta kwa young killer hafiki[emoji23][emoji1787]
Mwamba anajua so kuandika tu, Hadi kuchanaKhaligraph
Wana confuse confidence na egoMwamba anajua so kuandika tu, Hadi kuchana
📌🔨 NAKAZIAMuulize davido, who's Joh Makini
Joh Ni mwanahiphop pekee East Africa kufanya vizuri akiwa na producers wengi tofauti na wengine wachanga kabisa
Anzia kwa Ludigo, Roy, Shakii, Dunga, Nahreal, yuddi, Pancho latino, hermy b, luffa.
Joh alimkataa p funk live, akaopt kuendelea kupambana na Roy na akatoboa.
Hao uliotaja wangepita njia za joh hakuna hata mmoja ungemsikia.
Pamoja na kupita hizo njia na kutoboa hakuna atayeweza kuandika ngoma Kama;
Hao
chochote popote,
hawapendi,
Niaje nivipi
Stimu zimelipiwa
Karibu tena,
Kilimanjaro,
Bye bye
Manuva
Nikumbatie
Kata leta
Perfect combo
Don't bother
Waya