Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #261
Cute Wife 😂🤣, hip hop ni fid q na sio joh mi maviNadhani wewe umeweka mahaba yako kwa Joh utakuwa wa Arusha wewe au tu ni mpenzi wake. Joh Makini hamna kitu. Hip pop haiwezi si kuandika si ku flow. Na akili za kuandika ndo hana kabisa. Ana hipop ya usela choo tu. Haina tafakuri.