Je, ni wana hiphop gani wameweza kutisha au kufanya vizuri hapa Afrika?

Je, ni wana hiphop gani wameweza kutisha au kufanya vizuri hapa Afrika?

you have a good heart bro.....

utafika mbali, si utani.....
IMG-20230625-WA0057.jpg
 
its complicated....

mimi siamini kama kua celibate ina mahusiano yoyote na kufanikiwa😂
Kaka mafanikio ya kimwili, huusisha na Roho pia.
👉Tendo la ndoa halihusishi mwili tu, Bali na muunganiko wa kiroho pia.
👉Hujawahi kusikia Dem fulani ana nuksi, toka Jamaa atembee nae ni majanga tu🙄🤔 mshamba_hachekwi
 
mshamba_hachekwi Afu unaeza hisi mi mshamba😂🤣
👉Au labda kuwalaza sijui, ila tatizo ukiendeelea hizo issue, Mambo yako hayakui.
👉 Sometimes nikiwaza familia niliyotoka, najiona nikikazania girls ntakua zaidi ya adui.
👉Hivyo Acha nichague kimoja, kwani hao wanao jiita gold digger hawa nisumbui🤣😂😂😂
 
being celibate is a choice, sio ushamba😂 wala sina shida na wewe....

ni kama anasa zingine tu, kuna wanaotumia na wasiotumia
 
Ulikuwa unaenda vizuri sema umeharibu uliposema joh hata kwa Young killer hafiki.. mpe respect yake Makini ni Legend kwenye Bongo Hip Hop toka wayback still anakinukisha na ukiongelea hits hakuna Mwana Hip Hop anayemfikia hapa bongo.
Bora na nyie mseme
 
Joh Makini hamna kitu. Fid Q ni mwanahipop mwenye akili. Mistari ya Joh Makini myepesi sana. Inayolazimisha urari wa Vina na Mizani. Kiuhalisia hata Darasa ni mzuri kwa Joh Makini
Fid alishakataa kulinganishwa na Joh, anajua ukweli wake.

Darassa 2012 alihangaika sana kupata collabo na Joh, aliomba sana ndio joh akampigia verse moja kali kwenye sikati tamaa
 
Umtake Radhi Fid Q kumfananisha na Joh. Fid anaandika na ana flow kinyama. Na mistari ya Fid anafikiria Joh hamna kitu sema alipata sana promo kutoka ******
Huujui muziki, Fid ni mzuri kwenye uandishi sio flow. Bongo kwa flow wote wanakiri hakuna kama Joh. Ndio maana nikasema hapo mwanzo katafuteni sababu ya Davido kumtafuta Joh ili wafanye collabo
 
Siwafichi people, mlipo tupo
Ila tulipo mwiko,
So simple kuvamia empire ya intelli kwa pistol.
Usije jf umelewa na kuchakazwa
Kama ulikesha disco leftyie worldie
Dogo kwanza ujue una mistar laini, Yani laini kama maini,
Mistari yangu kama zebra ukiipuuza ujue Kuna faini,
Naflow kama Maji akisikia Fid anakata Q ,Joh anakuwa makini,
Darasa anarudi shuleni na Wakazi haendi kazini.
 
Huujui muziki, Fid ni mzuri kwenye uandishi sio flow. Bongo kwa flow wote wanakiri hakuna kama Joh. Ndio maana nikasema hapo mwanzo katafuteni sababu ya Davido kumtafuta Joh ili wafanye collabo
Nadhani wewe umeweka mahaba yako kwa Joh utakuwa wa Arusha wewe au tu ni mpenzi wake. Joh Makini hamna kitu. Hip pop haiwezi si kuandika si ku flow. Na akili za kuandika ndo hana kabisa. Ana hipop ya usela choo tu. Haina tafakuri.
 
Dogo kwanza ujue una mistar laini, Yani laini kama maini,
Mistari yangu kama zebra ukiipuuza ujue Kuna faini,
Naflow kama Maji akisikia Fid anakata Q ,Joh anakuwa makini,
Darasa anarudi shuleni na Wakazi haendi kazini.
Una unga unga mistari
Kisha nawe una jikuta hodari
Kumbe bingwa was kuvurunda, bila kupewa kibali Citizen B
 
Back
Top Bottom