Je, ni wana hiphop gani wameweza kutisha au kufanya vizuri hapa Afrika?

Je, ni wana hiphop gani wameweza kutisha au kufanya vizuri hapa Afrika?

Umechanganya madesa. Yesu Masihi ni mwingine na Isa ibn Maryam ni mwingine.
ubwabwa na wali ni kitu kile kile tofauti maeneo ya kutamka. 😄😄😄😄 Acha ujuaji weeee ni mbwaaaa in kicheche voice.
 
Ndiwoooo!! Wewe lete vitu me fan wako usiniangushe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja nikale mabangi nije hapa kufoka foka atakimbia mwenyewe 😄😄😄😄😄😄
 
nimelewa nimetoka kunywa belaire 😄😄😄😄
Ndo maana unacheka cheka sana. Uwe makini tu maana naona hali yako si nzuri. Kama upo Pemba, Mombasa, Lamu,Tanga, Dar mitaa ya Kinondoni, Ilala, Magomeni etc uwe makini au uwe na mtu wa karibu sana. Otherwise sijui kama utakuwa na uwezo wa kujulisha umma
 
CUTE Umeona ushauri alio pewa leftyie worldie 🤣😂😂
 
Unaendeleza ulipoishia bro [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yule mjinga ata nitesaa🤣😂😂 na kunicheka juuu🤣😂😂😂.
👉Imagine akini leteaga tu vitu ninavyo penda, Basi utasikia we kenge una experience ya kumfanyia mtu massage😂🤣🤣🤣 Cute Wife
 
Back
Top Bottom