Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #241
you have a good heart bro.....
utafika mbali, si utani.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
you have a good heart bro.....
utafika mbali, si utani.....
Kaliisiijui hii
Kaka kwani we hutaki kufika mbali🙄🤔you have a good heart bro.....
utafika mbali, si utani.....
its complicated....Kaka kwani we hutaki kufika mbali🙄🤔
Kaka mafanikio ya kimwili, huusisha na Roho pia.its complicated....
mimi siamini kama kua celibate ina mahusiano yoyote na kufanikiwa😂
Vizuri, ila check Sana, omba yasikukute🙄🤔.i'm an atheist😂
being celibate is a choice, sio ushamba😂 wala sina shida na wewe....mshamba_hachekwi Afu unaeza hisi mi mshamba😂🤣
👉Au labda kuwalaza sijui, ila tatizo ukiendeelea hizo issue, Mambo yako hayakui.
👉 Sometimes nikiwaza familia niliyotoka, najiona nikikazania girls ntakua zaidi ya adui.
👉Hivyo Acha nichague kimoja, kwani hao wanao jiita gold digger hawa nisumbui🤣😂😂😂
Endelea kuwalaza mkuu🤣😂😂😂, mi natumia chaste drinks 🤣😂😂being celibate is a choice, sio ushamba😂 wala sina shida na wewe....
ni kama anasa zingine tu, kuna wanaotumia na wasiotumia
Bora na nyie msemeUlikuwa unaenda vizuri sema umeharibu uliposema joh hata kwa Young killer hafiki.. mpe respect yake Makini ni Legend kwenye Bongo Hip Hop toka wayback still anakinukisha na ukiongelea hits hakuna Mwana Hip Hop anayemfikia hapa bongo.
hata siwalazi mkuu ila mi nasupport ulazaji😂Endelea kuwalaza mkuu🤣😂😂😂, mi natumia chaste drinks 🤣😂😂
Basi uwe una tumia chaste drinks🤣hata siwalazi mkuu ila mi nasupport ulazaji😂
Fid alishakataa kulinganishwa na Joh, anajua ukweli wake.Joh Makini hamna kitu. Fid Q ni mwanahipop mwenye akili. Mistari ya Joh Makini myepesi sana. Inayolazimisha urari wa Vina na Mizani. Kiuhalisia hata Darasa ni mzuri kwa Joh Makini
Huujui muziki, Fid ni mzuri kwenye uandishi sio flow. Bongo kwa flow wote wanakiri hakuna kama Joh. Ndio maana nikasema hapo mwanzo katafuteni sababu ya Davido kumtafuta Joh ili wafanye collaboUmtake Radhi Fid Q kumfananisha na Joh. Fid anaandika na ana flow kinyama. Na mistari ya Fid anafikiria Joh hamna kitu sema alipata sana promo kutoka ******
sinywi, sivuti, siangalii mpira😂 nikijinyima na hio ntaishijeBasi uwe una tumia chaste drinks🤣
Dah majanga Yale Yale😂🤣, mi sivuti, sinywi na Wala silazi mtu😂🤣sinywi, sivuti, siangalii mpira😂 nikijinyima na hio ntaishije
Dogo kwanza ujue una mistar laini, Yani laini kama maini,Siwafichi people, mlipo tupo
Ila tulipo mwiko,
So simple kuvamia empire ya intelli kwa pistol.
Usije jf umelewa na kuchakazwa
Kama ulikesha disco leftyie worldie
Nadhani wewe umeweka mahaba yako kwa Joh utakuwa wa Arusha wewe au tu ni mpenzi wake. Joh Makini hamna kitu. Hip pop haiwezi si kuandika si ku flow. Na akili za kuandika ndo hana kabisa. Ana hipop ya usela choo tu. Haina tafakuri.Huujui muziki, Fid ni mzuri kwenye uandishi sio flow. Bongo kwa flow wote wanakiri hakuna kama Joh. Ndio maana nikasema hapo mwanzo katafuteni sababu ya Davido kumtafuta Joh ili wafanye collabo
Una unga unga mistariDogo kwanza ujue una mistar laini, Yani laini kama maini,
Mistari yangu kama zebra ukiipuuza ujue Kuna faini,
Naflow kama Maji akisikia Fid anakata Q ,Joh anakuwa makini,
Darasa anarudi shuleni na Wakazi haendi kazini.