Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
-
- #261
Cute Wife 😂🤣, hip hop ni fid q na sio joh mi maviNadhani wewe umeweka mahaba yako kwa Joh utakuwa wa Arusha wewe au tu ni mpenzi wake. Joh Makini hamna kitu. Hip pop haiwezi si kuandika si ku flow. Na akili za kuandika ndo hana kabisa. Ana hipop ya usela choo tu. Haina tafakuri.
Umehama kweye facts unaenda kwenye kutukana. Mimi kutukana najua, lakini nifanye hivyo ili iweje?Nadhani wewe umeweka mahaba yako kwa Joh utakuwa wa Arusha wewe au tu ni mpenzi wake. Joh Makini hamna kitu. Hip pop haiwezi si kuandika si ku flow. Na akili za kuandika ndo hana kabisa. Ana hipop ya usela choo tu. Haina tafakuri.
Naishia kucheka..😂😂makaveli10, Scars mna maoni gani juu ya maoni ya huyu chuga boy😂🤣
Muheshimiwa naona umeamua kujipa Mauwa yako mwenyeweFid mzuri kwenye uandishi tu, na uandishi wake kwa sasa umepitwa na wakati. Lakini heshima yake nampa, he's good.
Aliwahi kusema na anaamini hadi leo Nikki wa Pili he's better than Roma
Hawezi kuzikwepa CW ...iwe C'wide au C'wife... Njemba El Njembaa.Naona unadanganya raia kuwa wewe ndio huyu.
Wanaokuamini wakafanyiwe overhaul ya kichwa.
Demu aina hii masela hawawezi kumpa nafasi alale na kuamkia JF wewe!
Fanya urudishe mzigo wa jamaa sio poa.
Halafu tu fanya watu wajue ID ya CW ni yako pia.
Ba mdogo unazingua sana.
😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄 Huyo ni mbwaaaaaaa sijui anaongea nini huyo ni mbwaaaa in kicheche voice.CUTE Umeona ushauri alio pewa leftyie worldie 🤣😂😂
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Huyo ni mbwaaaaaaa sijui anaongea nini huyo ni mbwaaaa in kicheche voice.
Yeah fid q mkali, na hata huyo joh hafiki kwa kina p mawengeNaishia kucheka..😂😂
Kiukweli ni mawazo na maoni yake napaswa kuyaheshimu, ila kwangu nipo kinyume chake.
Ngosha muache aitwe ngosha tu. Ngoma zake zooote Hana Ngoma kama neno, ielewe mitaa, august 13, mwanza mwanza na professional, hizo 2 za mwanzo na hivyo professional ndio kabisaaa.
Kwangu mimi ngosha aliubadili upepo wa hip hop, ana heshima yake hapa, kina nigga jay(heshima kwake) walitambulika zaidi kama wabongo fleva.
ana nini huyomshamba_hachekwi Africa tuna hitaji kiongozi Kama d Trump aise💪💪
Yeah fid q mkali, na hata huyo joh hafiki kwa kina p mawenge
Ana kaa kwa shemeji, so ana subiri walale🤣😂😂Anazingua mpk muda huu haonekani sijui kaenda tena Jamaica kwa Bob [emoji23][emoji23][emoji23]
Msema ukweli, na Mr do actionana nini huyo
Kumzid Q?? Your not serious bro ni Hiphop au Genre nyingne unaongeleaHakuna, Joh anajua hadi kapitiliza [emoji7][emoji7][emoji7]
Ana kaa kwa shemeji, so ana subiri walale[emoji1787][emoji23][emoji23]