Je, ni wana hiphop gani wameweza kutisha au kufanya vizuri hapa Afrika?

Countrywide Huyo David mwenyewe ana wakubali nasty c na sarkodie.
[emoji117]Halafu Huyo joh hta kwa young killer hafiki[emoji23][emoji1787]
Ulikuwa unaenda vizuri sema umeharibu uliposema joh hata kwa Young killer hafiki.. mpe respect yake Makini ni Legend kwenye Bongo Hip Hop toka wayback still anakinukisha na ukiongelea hits hakuna Mwana Hip Hop anayemfikia hapa bongo.
 
Kiuandishi killer ni mkali bro, huyo joh kapata support kutoka redio ya mawingu.
👉Ambayo Wana chuga wenzie ni washika usukani
 
Ulikuwa unaenda vizuri sema umeharibu uliposema joh hata kwa Young killer hafiki.. mpe respect yake Makini ni Legend kwenye Bongo Hip Hop toka wayback still anakinukisha na ukiongelea hits hakuna Mwana Hip Hop anayemfikia hapa bongo.

Joh mkali sana’a mwambie huyo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ujio wangu zaidi ya popo bawa
Umelala ukasahau,
Ukaachia angle🤣😂😂
Una ji contradict sana.
Una nitukana wakati, unajitukana..

Tuliacha ku buttle majina, tuna buttle njia.
Unamtukana dada angu, wakati ni dadako pia...
Na una dada pia, anapakatwa na anasaula..
Tunamjua kwa jina anaitwa paulaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…