father-xmas
JF-Expert Member
- Mar 23, 2010
- 971
- 1,117
Mrudishie jamaa mzigo wake basi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawa hebu fanya tuone hiyo midevu ya Rick
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrudishie jamaa mzigo wake basi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawa hebu fanya tuone hiyo midevu ya Rick
Naona unadanganya raia kuwa wewe ndio huyu.
Wanaokuamini wakafanyiwe overhaul ya kichwa.
Demu aina hii masela hawawezi kumpa nafasi alale na kuamkia JF wewe!
Fanya urudishe mzigo wa jamaa sio poa.
Halafu tu fanya watu wajue ID ya CW ni yako pia.
Ba mdogo unazingua sana.
Mrudishie jamaa mzigo wake basi
Sibishi ba mdogo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe mlisave jana?? Kwani hiyo picha ina maajabu gani? Mimi najiona wa kawaida kumbe pisi kweli?!!
Sikiza bro huyo ni mimi [emoji817] percante na siwez kukulazimisha kukuaminisha sababu sio ni umuhimu huo!! Na sio shida zangu wewe uamini na account ya Countrywide sio yangu.
Unajua kabisa jamaa ninayemuongelea sio hiyo ID yako nyingine.Sasa namrudishia vipi na umesema id ya CW ya kwangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sibishi ba mdogo.
Labda umefanya sajari yakubadilishwa uwe mwanamke.
Unajua kabisa jamaa ninayemuongelea sio hiyo ID yako nyingine.
Rudisha mambo za watu acha uhuni mjomba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Byebye ni wimbo mkali mno ila unachukuliwa poa... Jo aliumizwa sana na virugu za Januari 5, 2011.Muulize davido, who's Joh Makini
Joh Ni mwanahiphop pekee East Africa kufanya vizuri akiwa na producers wengi tofauti na wengine wachanga kabisa
Anzia kwa Ludigo, Roy, Shakii, Dunga, Nahreal, yuddi, Pancho latino, hermy b, luffa.
Joh alimkataa p funk live, akaopt kuendelea kupambana na Roy na akatoboa.
Hao uliotaja wangepita njia za joh hakuna hata mmoja ungemsikia.
Pamoja na kupita hizo njia na kutoboa hakuna atayeweza kuandika ngoma Kama;
Hao
chochote popote,
hawapendi,
Niaje nivipi
Stimu zimelipiwa
Karibu tena,
Kilimanjaro,
Bye bye
Manuva
Nikumbatie
Kata leta
Perfect combo
Don't bother
Waya
Watu wamevurugwa humu, potezea tuSasa namrudishia vipi na umesema id ya CW ya kwangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haina haja bana, hizi mishe zingine uwe unapotezea tu.
Watu wamevurugwa humu, potezea tu
Haina haja bana, hizi mishe zingine uwe unapotezea tu.
Mengine unapuuzia tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu wana stress vibaya wanavyo fake wao maisha wanajua wote tuko hivyo!!!
Thanks kwa kunielewa[emoji3059][emoji3059][emoji3059] sawa baby
Naona Vero hajaenda kuwinda leo.
Angalau uwe una Panga hoja, sio unakuja kuja Kama upepo Poor Brain