Tukikubaliana kama hivyo ni sawa kabisa...🤗 tena nami najifanya kupiga sim kwenu kama umefika salama..? Wakiniambia tayari ama bado, basi ndio nakua nishawapa taarifa hivyo...😊Ohh..mie nilijua natakiwa kukuambia ushimen naplan kwenda nyumbani tarehe fulani ...kumbe hadi hayo!raha sana
Ukipata mwenza anayejua thamani ya mke na mipaka ya familia hakika utaweza.Pamoja na yote ila uhusiano wa mkwe, wifi na mke huwa una tatizo tu naturally hata kwenye maandiko imeandikwa....ni watu ambao inahitajika kuishi kwa akili sana busara sana na kubwa zaidi kuishi mbalimbali
Kutoa taarifa mkuu ni lazima mkuu ila penye ruhusa hapo😌...! Basi sawa...Tukikubaliana kama hivyo ni sawa kabisa...🤗 tena nami najifanya kupiga sim kwenu kama umefika salama..? Wakiniambia tayari ama bado, basi ndio nakua nishawapa taarifa hivyo...😊
Sio unajiondokea tu eti unaenda kwenu...🤨 yaanu unafika kwenu ndipo unanipigia sim eti umeenda kwenu...😕 tena unakaza fuvu kabisa kwamba "kwani kosa langu nini, sinimeenda kwetu"...☹️ kwenu my foot..🤨 tena usitake kuniudhi mimi...😕
Pole sana mkuu...Ukipata mwenza anayejua thamani ya mke na mipaka ya familia hakika utaweza.
Nilimlinda my wangu na toxic za familia kumbe bana nilikuwa ninajiundia gereza langu mwenyewe.
Kaskazi ina upepo mkali sana nakwambia
Mkuu, minadhani swala la kutumia jina ni utashi tu..😊Ukiolewa na Mengi & Co. lazima ujiite Mrs Mengi, kila unapoenda utajitambulisha kwa jina la mume...ila kama ndio kina Eroni wamekuoa, ukoo unajulikana na wewe tu[emoji16][emoji16]utajitambulisha kwa majina yako.
Nikuulize swali mkuu.....Kutoa taarifa mkuu ni lazima mkuu ila penye ruhusa hapo😌...! Basi sawa...
Ila kuna wapo proud kutumia majina ya mume kwa sababu ya uwezo na jina la mume kwenye jamii mkuu.Mkuu, minadhani swala la kutumia jina ni utashi tu..[emoji4]
Naunga mkono hojaIla kuna wapo proud kutumia majina ya mume kwa sababu ya uwezo na jina la mume kwenye jamii mkuu.
Okay...kwanini umeninyima hiyo ruhusa?nauli ni yangu ukumbuke...au utanipa nauli?why uninyime kwenda lakini?hata kama utaprovide nauli why uninyime ruhusa mtu mzima mwenzako?sitaenda...na siku ukisema niende SIENDI🤚😌🤭Nikuulize swali mkuu.....
Mfano umenipa taarifa na nikakunyima ruhusa usiende kwenu na utaenda siku nyingine, hapo utafanyaje...😊
Kwenye utii hapo kuna msingi wa Kabila.Pole sana mkuu...
Minafikiri mke mwema hutengenezwa na familia yenye malezi bora kwa mtoto.
Pia kinacho umiza watu wengi ni wazazi kuto kujua nafasi zao kwenye ndoa za watoto wao, na watoto kuto kutambua wajibu wao kwa wazazi wao pindi wanapo ingia kwenye ndoa.
Binafsi siamini kwenye ukabila, bali naamini kwamba mke hafai kama hana utii kwa mume wake.
Umejua kunichekesha mkuu....😜😜😜Kwenye utii hapo kuna msingi wa Kabila.
Ukijaribu kutafiti binafsi kwa wanandoa ambao mke katokea kaskazini neno UTII KWA MUME utalitafuta kwa tochi mchana kweupee
Kaka zenu kina Noeli wanatrend kinyama. Sisi tunawapaisha dada zao🤣Mtuachee
Mbona mnatuwaza sana
Kahamia Mwanza undisclosed location🤣Huyu Depal aliwahi kunihudumia vizuri sana kwenye ofisi moja pale Arusha, ipo kwenye first floor....😊
Mungu ameweke huyu mama aiseeeee.....
Kumtii mtu ni mpaka ufanyeje ndo ajue unamtiiKwenye utii hapo kuna msingi wa Kabila.
Ukijaribu kutafiti binafsi kwa wanandoa ambao mke katokea kaskazini neno UTII KWA MUME utalitafuta kwa tochi mchana kweupee
Naamini upo kanda hiyo pia.Kumtii mtu ni mpaka ufanyeje ndo ajue unamtii
🤣🤣🤣🤣🤣Kahamia Mwanza undisclosed location🤣
Halafu unamzeesha aisee. Binti shanta shanta hajafikia kuitwa (ji)mama bana🤣🤣🤣