Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Tukikubaliana kama hivyo ni sawa kabisa...🤗 tena nami najifanya kupiga sim kwenu kama umefika salama..? Wakiniambia tayari ama bado, basi ndio nakua nishawapa taarifa hivyo...😊Ohh..mie nilijua natakiwa kukuambia ushimen naplan kwenda nyumbani tarehe fulani ...kumbe hadi hayo!raha sana
Sio unajiondokea tu eti unaenda kwenu...🤨 yaanu unafika kwenu ndipo unanipigia sim eti umeenda kwenu...😕 tena unakaza fuvu kabisa kwamba "kwani kosa langu nini, sinimeenda kwetu"...☹️ kwenu my foot..🤨 tena usitake kuniudhi mimi...😕