Je, ni wanawake wa makabila gani hapa Tanzania wakiolewa hawajihesabii kuwa sehemu ya kudumu ya ukoo na familia ya Mume?

Ohh..mie nilijua natakiwa kukuambia ushimen naplan kwenda nyumbani tarehe fulani ...kumbe hadi hayo!raha sana
Tukikubaliana kama hivyo ni sawa kabisa...🤗 tena nami najifanya kupiga sim kwenu kama umefika salama..? Wakiniambia tayari ama bado, basi ndio nakua nishawapa taarifa hivyo...😊
Sio unajiondokea tu eti unaenda kwenu...🤨 yaanu unafika kwenu ndipo unanipigia sim eti umeenda kwenu...😕 tena unakaza fuvu kabisa kwamba "kwani kosa langu nini, sinimeenda kwetu"...☹️ kwenu my foot..🤨 tena usitake kuniudhi mimi...😕
 
Pamoja na yote ila uhusiano wa mkwe, wifi na mke huwa una tatizo tu naturally hata kwenye maandiko imeandikwa....ni watu ambao inahitajika kuishi kwa akili sana busara sana na kubwa zaidi kuishi mbalimbali
Ukipata mwenza anayejua thamani ya mke na mipaka ya familia hakika utaweza.

Nilimlinda my wangu na toxic za familia kumbe bana nilikuwa ninajiundia gereza langu mwenyewe.

Kaskazi ina upepo mkali sana nakwambia
 
Tukikubaliana kama hivyo ni sawa kabisa...🤗 tena nami najifanya kupiga sim kwenu kama umefika salama..? Wakiniambia tayari ama bado, basi ndio nakua nishawapa taarifa hivyo...😊
Sio unajiondokea tu eti unaenda kwenu...🤨 yaanu unafika kwenu ndipo unanipigia sim eti umeenda kwenu...😕 tena unakaza fuvu kabisa kwamba "kwani kosa langu nini, sinimeenda kwetu"...☹️ kwenu my foot..🤨 tena usitake kuniudhi mimi...😕
Kutoa taarifa mkuu ni lazima mkuu ila penye ruhusa hapo😌...! Basi sawa...
 
Ukiolewa na Mengi & Co. lazima ujiite Mrs Mengi, kila unapoenda utajitambulisha kwa jina la mume...ila kama ndio kina Eroni wamekuoa, ukoo unajulikana na wewe tu[emoji16][emoji16]utajitambulisha kwa majina yako.
 
Ukipata mwenza anayejua thamani ya mke na mipaka ya familia hakika utaweza.

Nilimlinda my wangu na toxic za familia kumbe bana nilikuwa ninajiundia gereza langu mwenyewe.

Kaskazi ina upepo mkali sana nakwambia
Pole sana mkuu...
Minafikiri mke mwema hutengenezwa na familia yenye malezi bora kwa mtoto.
Pia kinacho umiza watu wengi ni wazazi kuto kujua nafasi zao kwenye ndoa za watoto wao, na watoto kuto kutambua wajibu wao kwa wazazi wao pindi wanapo ingia kwenye ndoa.
Binafsi siamini kwenye ukabila, bali naamini kwamba mke hafai kama hana utii kwa mume wake.
 
Ukiolewa na Mengi & Co. lazima ujiite Mrs Mengi, kila unapoenda utajitambulisha kwa jina la mume...ila kama ndio kina Eroni wamekuoa, ukoo unajulikana na wewe tu[emoji16][emoji16]utajitambulisha kwa majina yako.
Mkuu, minadhani swala la kutumia jina ni utashi tu..😊
 
Nikuulize swali mkuu.....
Mfano umenipa taarifa na nikakunyima ruhusa usiende kwenu na utaenda siku nyingine, hapo utafanyaje...😊
Okay...kwanini umeninyima hiyo ruhusa?nauli ni yangu ukumbuke...au utanipa nauli?why uninyime kwenda lakini?hata kama utaprovide nauli why uninyime ruhusa mtu mzima mwenzako?sitaenda...na siku ukisema niende SIENDI🤚😌🤭
 
Pole sana mkuu...
Minafikiri mke mwema hutengenezwa na familia yenye malezi bora kwa mtoto.
Pia kinacho umiza watu wengi ni wazazi kuto kujua nafasi zao kwenye ndoa za watoto wao, na watoto kuto kutambua wajibu wao kwa wazazi wao pindi wanapo ingia kwenye ndoa.
Binafsi siamini kwenye ukabila, bali naamini kwamba mke hafai kama hana utii kwa mume wake.
Kwenye utii hapo kuna msingi wa Kabila.

Ukijaribu kutafiti binafsi kwa wanandoa ambao mke katokea kaskazini neno UTII KWA MUME utalitafuta kwa tochi mchana kweupee
 
Kumtii mtu ni mpaka ufanyeje ndo ajue unamtii
Naamini upo kanda hiyo pia.

Anyways, utii siyo kupiga magoti wala kutoa shikamoo kwa sana.

Utii ni kutomdharau mwenza, kutoinua ssuti kujibizana kama wauza mitumba, kutomsema kwa watoto vibaya. Kutokumsonya, kutomzingua wakati wa kuchakatana na kadhalika.

Kinachohitajika ni Hekima na Busara
 
Back
Top Bottom