fungi06
JF-Expert Member
- Jul 1, 2020
- 738
- 1,017
Kwa miaka mingi watu wengi wamekua wakitamani kujiunga na illuminant (Frères-Maçons of Zion). Ila wengi wamekua hawaelewi ni nani kiongozi aliye juu ya taasisi hii nyeti sana dunia.
Wengi wanatamani kujiunga Illuminati ili kutafuta majina, kupata nguvu na ushawishi kwenye public, kuwa na influence kimaisha. Wengi wamekua wakijiunga huku wakisema hawajali ni nini kitawapata endapo wakijiunga na taasisi hiyo ya siri,,endapo they will gate what they need.
Jinsi mtu anavyozidi kupanda juu degree ndivyo hivyo hivyo mtu uyo anavyozidi kuwa bond na taasisi hiyo inayo abudu (Sumerian false Messiah)
Wenyewe wanamwita (The Awaited King of the Hebrews/ Uncle Sam/ the Antichrist) au shetini mwenyewe.naisi bado haujatambua, ila taasisi hii hufanya harakati zake kama mafia organization,,,yani ukijiunga hamna namna au njia yakujitoa kwenye taasisi hii kwa namna yoyote.
Mnaikumbuka The Matrix 1 pale ambapo Neo aliuliza
"I can't go back, can i?"
Morpheus akamjibu
"I think i owe you an apology. There is a rule, we do not free mind once it reach a certain age. Its dangerous."
Kiufupi ni iko hivi, ukipanda daraja (degree) ndo kama umeshajikatia ticket yako yakuzimu (jehanamu). Ambapo utamtumikia shetani na maswala yake yote na ndio maisha yako yatakavyokua mpaka mwisho wa maisha duniani to the eternity.
Huu ni ubabaishaji na ni upotezaji nguvu na maisha kwa ujumla duniani na adhabu kali to the eternity.
Maisha yote uliyo ishi duniani yanakua ni kupoteza mda tuu duniani, ambapo unakua umejitoa maisha kuandamana na shetani kuelekea kule jehanamu kwenye moto wa milele
Hivyo basi ni vyema usiingie makubaliano yakudanganywa kula tunda la immortality
Nimuhimu sana kwa mtu kutambua kwamba Illuminati ni taasisi ya siri mno ambayo ime base kwenye speculation na conspiracy theory ndani yake.
Hivyo basi zifwatazo ni baadhi ya hasara za kujiunga na Illuminati kulingana na watu waliojiunga kama ifwatavyo
1. Loss of personal freedom,
Moja kati ya changamoto kubwa zakujiunga na Illuminati kubwa ni kupoteza personal freedom hii hutokea pale ambapo mtu hutakiwa kufuata sheria za taasisi na kuacha vile vyote ambavyo ni kinyume na taasisi.
2.hatari ya kunyonywa kupita kiasi
Hii utokea sana ambapo nilazima mtu kukizi matakwa kwanza ya taasisi hiyo, ambapo huangalia interest ya chama kuliko interest za mtu au wanachama wake
3.hatari ya kukupelekea kuvunja sheria na kujikuta hatiani
Hii utokea pale ambapo utatakiwa kutekeleza matakwa ya taasisi ambayo mengi ni ya hatari, kama vile kutoa sadaka za mazindiko. Hii upelekea mda mwingine kuingia matatani kwa kuvunja sheria pia utulivu wa amani.
4. Negative perception kutokea kwenye community
Watu wengi pia wamekua na negative perception juu ya Illuminati ambazo hizi hupelekea mtu kutokua mwaminifu kwa mtu alie jiunga na taasisi hii na kupelekea kupoteza personal interest za mwanachama kwenye community yake kwa ujumla.
5. uvunjifu wa maadili
Kwa baadhi ya community ni uvunjifu wa maadili kwa mtu yoyote kujiunga na taasisi hizi ambapo wengi huamini upelekea umwagaji damu na ndivyo ilivyo maana shetani anajua mno kuziumiza nafsi na kuzi manipulate ili apate wana wakumsindikiza jehanam.
*Ikumbukwe kua hasara hizi ni kwa mujibu wa maneno ya watu na speculation. Hivyo huenda sio sahihi kwa baadhi ya watu wanao claim kua na elimu na uelewa juu ya taasisi hii ya Illuminati. Ivyo ivyo pia ni watu wachache sana walio jiunga Illuminati na wanao zifahamu siri za taasisi hiyo na upigaji kazi wa taasisi hiyo, kwa uelewa zaidi ni wachache mno.