chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
Wizara ya Afya ndio mara nyingi Bajet yao huwa kubwa Vs Ulinzi etcSalaam wakuu,
Nimekuwa nikijiuliza hili swali kwamba je ni wizara gani ni kubwa kati ya hizi wizara tulizo nazo na ambayo imekuwa ikitengewa pesa nyingi ukilinganisha na zingine?
Naomba wajuzi wa mambo mnifahamishe.
Wakati bajeti inasomwa unakuwaga wapi. Au ni wa kuhamia?Salaam wakuu,
Nimekuwa nikijiuliza hili swali kwamba je ni wizara gani ni kubwa kati ya hizi wizara tulizo nazo na ambayo imekuwa ikitengewa pesa nyingi ukilinganisha na zingine?
Naomba wajuzi wa mambo mnifahamishe.
yeah kwa hizi barabara lazima mpunga uwekweUjenzi bila shaka inalamba 1/3
Ngoja wajuzi waje kukupa mwongozo
hii ni hatari mkuuWizara inayohusu malipo ya mishahara na marupurupu serikalini ndio hukausha kabisa tozo zetu
ElimuSalaam wakuu,
Nimekuwa nikijiuliza hili swali kwamba je ni wizara gani ni kubwa kati ya hizi wizara tulizo nazo na ambayo imekuwa ikitengewa pesa nyingi ukilinganisha na zingine?
Naomba wajuzi wa mambo mnifahamishe.
sawa sawaWizara ya Afya ndio mara nyingi Bajet yao huwa kubwa Vs Ulinzi etc
elimu nayo si habaElimu
ngoja niidanlodWakati bajeti inasomwa unakuwaga wapi. Au ni wa kuhamia?
Kutengewa na kupewa ni vitu viwili tofauti.Salaam wakuu,
Nimekuwa nikijiuliza hili swali kwamba je ni wizara gani ni kubwa kati ya hizi wizara tulizo nazo na ambayo imekuwa ikitengewa pesa nyingi ukilinganisha na zingine?
Naomba wajuzi wa mambo mnifahamishe.
duh hivi anayewapa ni nani hasaKutengewa na kupewa ni vitu viwili tofauti.
Unaweza kutengewa pesa ndefu lakini mwishowe ukaambulia nusu ya pesa yote uliyotengewa
Je, hujawahi kusikia mawaziri wanalalamika kuwa wametengewa e.g. 10bn lakini hadi mwaka wa serikali unaisha wao wamepewa 40% tu ya pesa waliyotengewa?
KilimoSalaam wakuu,
Nimekuwa nikijiuliza hili swali kwamba je ni wizara gani ni kubwa kati ya hizi wizara tulizo nazo na ambayo imekuwa ikitengewa pesa nyingi ukilinganisha na zingine?
Naomba wajuzi wa mambo mnifahamishe.
Madelu aka mzee tozoduh hivi anayewapa ni nani hasa
nadhani ila nmeona wizara ya fedha nayo ni hatari ukiweka na mambo ya kulupa madeni ya nchi za njeNinavyojua mimi TAMISEMI inabeba asilimia zaidi ya hamsini ya bajeti kwa maana ya matumizi ya kawaida (mishahara, nk) na matumizi ya maendeleo (maji, umeme, elimu, afya, barabara, nk).
ahh haya bhanaMadelu aka mzee tozo
Inawezekana, lakini kwa ulipaje wa madeni ya ndani nadhani bado TAMISEMI inaongoza.nadhani ila nmeona wizara ya fedha nayo ni hatari ukiweka na mambo ya kulupa madeni ya nchi za nje