Je, ni wizara gani kubwa inayotengewa hela nyingi?

Je, ni wizara gani kubwa inayotengewa hela nyingi?

Kutengewa na kupewa ni vitu viwili tofauti.

Unaweza kutengewa pesa ndefu lakini mwishowe ukaambulia nusu ya pesa yote uliyotengewa

Je, hujawahi kusikia mawaziri wanalalamika kuwa wametengewa e.g. 10bn lakini hadi mwaka wa serikali unaisha wao wamepewa 40% tu ya pesa waliyotengewa?
Umeongea point ya msingi Kiongozi..kiukweli bajeti yetu, kwanza huwa ni ya kinadharia/hewa,haiheshimiwi hasa kipindi cha Jiwe, yaani ni bora tu,mwaka wa fedha umeisha..
 
Back
Top Bottom