Masiku kadhaa yamepita nikiwaza kuandika au kuhoji jambo hili,lakini nikawa nasita. Ila leo hii imenibidi nifanye hivyo,sababu masiku nayo yanazidi kupita.
Sayansi imepewa uwezo mkubwa kuliko uhalisia,mpaka ikafikia hatua ya baadhi ya watu kuona Sayansi ndio kila kitu.
Nijuavyo mimi ni kuwa kile kilicho letwa na mwanadamu hakikosi kasoro,na Sayansi ikiwemo. Hii ni kutokana na misingi yake kwayo hufikia kutolea majibu au hutimisho.
Nawakaribisha wote juu ya mjadala huu ili tupate faida,je ni yapi mapungufu ya Sayansi na kama wapo wapingaji je ni kwa hoja zipi.