Je, ni yapi mapungufu ya sayansi?

Je, ni yapi mapungufu ya sayansi?

Kisai

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Posts
28,481
Reaction score
28,749
Masiku kadhaa yamepita nikiwaza kuandika au kuhoji jambo hili,lakini nikawa nasita. Ila leo hii imenibidi nifanye hivyo,sababu masiku nayo yanazidi kupita.

Sayansi imepewa uwezo mkubwa kuliko uhalisia,mpaka ikafikia hatua ya baadhi ya watu kuona Sayansi ndio kila kitu.

Nijuavyo mimi ni kuwa kile kilicho letwa na mwanadamu hakikosi kasoro,na Sayansi ikiwemo. Hii ni kutokana na misingi yake kwayo hufikia kutolea majibu au hutimisho.

Nawakaribisha wote juu ya mjadala huu ili tupate faida,je ni yapi mapungufu ya Sayansi na kama wapo wapingaji je ni kwa hoja zipi.
 
Wanaweza kukubaliana au kuassume uongo alafu wapenzi wake wakaona ni kweli.

Mfano hakuna ushahidi wa kisayansi kuwa maandiko ya tabia nchi yanasababishwa na uchafuzi wa mazingira na hewa ukaa.
Pia hawawezi kuthibitisha miujiza scientically hata kama imefanyika mbele ya macho yao.
 
Kama wapo humu wanasayansi wa unajimu na sayari,waje watuambie kuna distance au umbali wa uniti ngapi kutoka nyuzi moja ya longitude mpaka nyuzi nyingine

Kwa mfano tunaambiwa kila baada ya nyuzi moja mda wake utakuwa ni dakika nne au kila baada ya nyuzi 15 mda wake ni lisaa limoja

Sasa katika distance je kuna uniti ngap au km ngapi kwa kila baada ya nyuzi kumi na tano?
 
upungufu mkubwa wa science ni kuwa ipo kama dini,mambo mengi sana ni ya kusadikika na kuamini tu hakuna proof lakini yanaandikwa kama ni ukweli ulio na proof
kwa mfano wanasema dunia ina tabaka tatu crust, mentle na inner core lakini watu wote waloishi duniani hakuna aliewahi kuona
hivi
kusema kuwa dunia ni duara hakuna proof yeyote inayoonehsa kuwa dunia ni duara
hakuna proof ya gravity
hakuna proof ya mizunguko ya dunia
hakuna proof ya outter space badala ya picha za kuchora kwa computer
imekuwa ni imani sawa na dini lakini vinalazimishwa vionekana kama vina proof
 
ukicheki historia ya sayansi utagundua mambo mengi sana yalifafanuliwa kimakosa kuanzia umbo la dunia hadi magonjwa. Kwahiyo kunauwezekano mkubwa mambo ambayo sana tuna uthibitisho wa kisayansi kuyahusu bado yana makosa mengi.
 
Fuatilia vizuri
 
sayansi inaweza kprove kuwa binadamu hawezi kutembea juu ya maji
hakuna aliyewahi na hakuna atakayetembea juu ya maji
 
upungufu mkubwa wa science ni kuwa ipo kama dini,mambo mengi sana ni ya kusadikika na kuamini tu hakuna proof lakini yanaandikwa kama ni ukweli ulio na proof
kwa mfano wanasema dunia ina tabaka tatu crust, mentle na inner core lakini watu wote waloishi duniani hakuna aliewahi kuona
hivi
kusema kuwa dunia ni duara hakuna proof yeyote inayoonehsa kuwa dunia ni duara
hakuna proof ya gravity
hakuna proof ya mizunguko ya dunia
hakuna proof ya outter space badala ya picha za kuchora kwa computer
imekuwa ni imani sawa na dini lakini vinalazimishwa vionekana kama vina proof
ndege unayopanda ni zao la sayansi
computer unayotumia ni zao la sayansi
dini haijawahi kutusaidia chochote,mohamed na yesu hawajawahi kuvumbua hata sindano
hawakuwa na faida kwa dunia zaidi ya uongo
 
Masiku kadhaa yamepita nikiwaza kuandika au kuhoji jambo hili,lakini nikawa nasita. Ila leo hii imenibidi nifanye hivyo,sababu masiku nayo yanazidi kupita.

Sayansi imepewa uwezo mkubwa kuliko uhalisia,mpaka ikafikia hatua ya baadhi ya watu kuona Sayansi ndio kila kitu.

Nijuavyo mimi ni kuwa kile kilicho letwa na mwanadamu hakikosi kasoro,na Sayansi ikiwemo. Hii ni kutokana na misingi yake kwayo hufikia kutolea majibu au hutimisho.

Nawakaribisha wote juu ya mjadala huu ili tupate faida,je ni yapi mapungufu ya Sayansi na kama wapo wapingaji je ni kwa hoja zipi.
Asante kwa mada nzuri
Sayansi ni ubunifu wa kibinadamu... Hakuna mwanadamu hakuna sayansi... Binadamu si mkamilifu hivyo hawezi kutoa bidhaa timilifu
Sayansi haiamini katika roho lakini mvumbuzi wake ana roho....
Bila nishati sayansi si lolote si chochote
Sayansi itatengeneza vyote lakini sio nishati
 
Kama wapo humu wanasayansi wa unajimu na sayari,waje watuambie kuna distance au umbali wa uniti ngapi kutoka nyuzi moja ya longitude mpaka nyuzi nyingine

Kwa mfano tunaambiwa kila baada ya nyuzi moja mda wake utakuwa ni dakika nne au kila baada ya nyuzi 15 mda wake ni lisaa limoja

Sasa katika distance je kuna uniti ngap au km ngapi kwa kila baada ya nyuzi kumi na tano?
upungufu mkubwa wa science ni kuwa ipo kama dini,mambo mengi sana ni ya kusadikika na kuamini tu hakuna proof lakini yanaandikwa kama ni ukweli ulio na proof
kwa mfano wanasema dunia ina tabaka tatu crust, mentle na inner core lakini watu wote waloishi duniani hakuna aliewahi kuona
hivi
kusema kuwa dunia ni duara hakuna proof yeyote inayoonehsa kuwa dunia ni duara
hakuna proof ya gravity
hakuna proof ya mizunguko ya dunia
hakuna proof ya outter space badala ya picha za kuchora kwa computer
imekuwa ni imani sawa na dini lakini vinalazimishwa vionekana kama vina proof
Watu walikuwa na madini kichwani tatizo lilikuwa pa kuyaandikia shukrani Zurri kwa mada
 
Sayansi ni tegemezi,sayansi bila vitabu vya dini,,hakuna sayansi,,vyote vinavyohusu sayansi vilishwa andikwa kwenye vitabu vya dini,,ila wao wanaongeza na kubadilisha
 
ukicheki historia ya sayansi utagundua mambo mengi sana yalifafanuliwa kimakosa kuanzia umbo la dunia hadi magonjwa. Kwahiyo kunauwezekano mkubwa mambo ambayo sana tuna uthibitisho wa kisayansi kuyahusu bado yana makosa mengi.
No amount of experimentation can ever prove me right, a single experiment can prove me wrong!. huyo ni Albert Einstein
 
ndege unayopanda ni zao la sayansi
computer unayotumia ni zao la sayansi
dini haijawahi kutusaidia chochote,mohamed na yesu hawajawahi kuvumbua hata sindano
hawakuwa na faida kwa dunia zaidi ya uongo

nnapolinganisha sayansi na dini ni kuwa mambo yanayofundishwa kwenye dini ni imani tu na wanaweka wazi kuwa dini ni mfumo wa kuamini na sio mfumo ulio na proof,lakini sayansi na definition ya sayansi ni mfumo ambao unategemea proof, na kama kitu hakina proof walikuwa waandike kwenye vitabu vyao kuwa hakuna proof ya vitu hivyo lakini badala yake wanatengeneza uongo ili kufanya proof za forgery za uongo
kwa mfano wametudanganya wamekwenda mwezini ili kulazimisha tuamini kuwa dunia ni duara na tuamini space wakati safari ya mwezini ni uongo
wanafundisha kuwa sisi binadamu na kila kitu kinaganda hapa duniani kwa sababu ya gravity lakini hakuna proof inayoonesha kuwa kuna nguvu ya gravity
na mambo yote yanayohusu dunia na space ni uzushi tu sio kweli na hakuna proof lakini wametufanya tuamini kuwa ni ukweli,uhalisi unaonesha kuwa hakuna mtu aliwahi kutoka nje ya dunia,hakuna outter space,hakuna gravity wala dunia sio duara wala haizunguki,jua, mwezi nyota na sayari zote vipo karibu tu tena ndani ya wingu la dunia kama macho yetu yanavyoona

hio sayansi ya kutengeza computer,ndege na magari ni sayansi ya innovation tu
+
 
Back
Top Bottom