Fuatilia vizuriupungufu mkubwa wa science ni kuwa ipo kama dini,mambo mengi sana ni ya kusadikika na kuamini tu hakuna proof lakini yanaandikwa kama ni ukweli ulio na proof
kwa mfano wanasema dunia ina tabaka tatu crust, mentle na inner core lakini watu wote waloishi duniani hakuna aliewahi kuona
hivi
kusema kuwa dunia ni duara hakuna proof yeyote inayoonehsa kuwa dunia ni duara
hakuna proof ya gravity
hakuna proof ya mizunguko ya dunia
hakuna proof ya outter space badala ya picha za kuchora kwa computer
imekuwa ni imani sawa na dini lakini vinalazimishwa vionekana kama vina proof
sayansi inaweza kprove kuwa binadamu hawezi kutembea juu ya majiWanaweza kukubaliana au kuassume uongo alafu wapenzi wake wakaona ni kweli.
Mfano hakuna ushahidi wa kisayansi kuwa maandiko ya tabia nchi yanasababishwa na uchafuzi wa mazingira na hewa ukaa.
Pia hawawezi kuthibitisha miujiza scientically hata kama imefanyika mbele ya macho yao.
ndege unayopanda ni zao la sayansiupungufu mkubwa wa science ni kuwa ipo kama dini,mambo mengi sana ni ya kusadikika na kuamini tu hakuna proof lakini yanaandikwa kama ni ukweli ulio na proof
kwa mfano wanasema dunia ina tabaka tatu crust, mentle na inner core lakini watu wote waloishi duniani hakuna aliewahi kuona
hivi
kusema kuwa dunia ni duara hakuna proof yeyote inayoonehsa kuwa dunia ni duara
hakuna proof ya gravity
hakuna proof ya mizunguko ya dunia
hakuna proof ya outter space badala ya picha za kuchora kwa computer
imekuwa ni imani sawa na dini lakini vinalazimishwa vionekana kama vina proof
Asante kwa mada nzuriMasiku kadhaa yamepita nikiwaza kuandika au kuhoji jambo hili,lakini nikawa nasita. Ila leo hii imenibidi nifanye hivyo,sababu masiku nayo yanazidi kupita.
Sayansi imepewa uwezo mkubwa kuliko uhalisia,mpaka ikafikia hatua ya baadhi ya watu kuona Sayansi ndio kila kitu.
Nijuavyo mimi ni kuwa kile kilicho letwa na mwanadamu hakikosi kasoro,na Sayansi ikiwemo. Hii ni kutokana na misingi yake kwayo hufikia kutolea majibu au hutimisho.
Nawakaribisha wote juu ya mjadala huu ili tupate faida,je ni yapi mapungufu ya Sayansi na kama wapo wapingaji je ni kwa hoja zipi.
Na asili yake ni mwanadamuSayansi ni utafiti na udadisi wa mambo. Daima sayansi itaendelea kuwa na mapungufu kwa sababu utafiti sio timilifu.
Kama wapo humu wanasayansi wa unajimu na sayari,waje watuambie kuna distance au umbali wa uniti ngapi kutoka nyuzi moja ya longitude mpaka nyuzi nyingine
Kwa mfano tunaambiwa kila baada ya nyuzi moja mda wake utakuwa ni dakika nne au kila baada ya nyuzi 15 mda wake ni lisaa limoja
Sasa katika distance je kuna uniti ngap au km ngapi kwa kila baada ya nyuzi kumi na tano?
Watu walikuwa na madini kichwani tatizo lilikuwa pa kuyaandikia shukrani Zurri kwa madaupungufu mkubwa wa science ni kuwa ipo kama dini,mambo mengi sana ni ya kusadikika na kuamini tu hakuna proof lakini yanaandikwa kama ni ukweli ulio na proof
kwa mfano wanasema dunia ina tabaka tatu crust, mentle na inner core lakini watu wote waloishi duniani hakuna aliewahi kuona
hivi
kusema kuwa dunia ni duara hakuna proof yeyote inayoonehsa kuwa dunia ni duara
hakuna proof ya gravity
hakuna proof ya mizunguko ya dunia
hakuna proof ya outter space badala ya picha za kuchora kwa computer
imekuwa ni imani sawa na dini lakini vinalazimishwa vionekana kama vina proof
No amount of experimentation can ever prove me right, a single experiment can prove me wrong!. huyo ni Albert Einsteinukicheki historia ya sayansi utagundua mambo mengi sana yalifafanuliwa kimakosa kuanzia umbo la dunia hadi magonjwa. Kwahiyo kunauwezekano mkubwa mambo ambayo sana tuna uthibitisho wa kisayansi kuyahusu bado yana makosa mengi.
Nishati =nguvu ya ubongo wa binadamuNa asili yake ni mwanadamu
ndege unayopanda ni zao la sayansi
computer unayotumia ni zao la sayansi
dini haijawahi kutusaidia chochote,mohamed na yesu hawajawahi kuvumbua hata sindano
hawakuwa na faida kwa dunia zaidi ya uongo