Je, ni yapi mapungufu ya sayansi?

ndege unayopanda ni zao la sayansi
computer unayotumia ni zao la sayansi
dini haijawahi kutusaidia chochote,mohamed na yesu hawajawahi kuvumbua hata sindano
hawakuwa na faida kwa dunia zaidi ya uongo
90% ya Amani duniani imechangiwa na Dini na haswa ile Dini ya Yesu,
Dini pamoja na madhaifu yake imetupa ustaarabu waafrika ambao ktk zama za giza tulikuwa tunafanyiana sana.sisi kule kwetu songea uchawi ulikuwa wa kiwango cha juu sana,lakini dini imetengeneza upendo wa aina furani,yale mambo yamepungua,huu ni mfano mdogo kwa eneo dogo.
 
Sayansi haijui chanzo cha kitu chochote yenyewe hudakia katikati, hivo sayansi inaelezea matokeo tu sio chanzo kwa kitu chochote kile sayansi haijui chanzo chake
 
kila chenye mwanzo kina mwisho/ukomo

mapungufu ya sayansi ni kwamba ina ukomo wake, ambapo ndipo mwanzo wa 'miujiza'
 
kama yehova hakuwa mchawi kwa nini alikuwa anataka sadaka ya damu?
kwa nini alikuwa anaua watoto wachanga wasio na hatia!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
kws nini ana tanuri la moto kuchoma watu aliowaumba mwenyewe!!!!(of course hakuna moto,ni upuuzi wa wazungu na waarabu kutawala watu)
 


Mkuu Zurri, hii kauli yako siyo sahihi pale unaposema "Nijuavyo mimi kuwa kile kilicholetwa na mwanadamu hakikosi kasoro na "sayansi ikiwemo".

kwanza ni lazima tufahamu kuwa sayansi ni elimu ambayo mwanadamu huipata popote katika njia mbalimbali ili aweze kuyatumia mazingira yake kikamilifu kwa ajili ya maendeleo yake kwa muktadha huo sayansi inatoka kwa Mungu na hata ukisoma maelezo ya baadhi ya wanasayansi maarufu utakuta walikuwa katika hali fulani wakimsifu/kumtaja Mungu kuonyesha uthamini wao Kwake, kifupi ni kwamba elimu yoyote yenye manufaa kwa watu imetoka kwa mungu lakini inawezekana kutokana na mapungufu ya kibinadamu tukashindwa kutumia ipasavyo au tukaitumia kinyume elimu ya sayansi hata hivyo bado elimu hiyo itabaki kuwa ni kutoka kwa Mungu.

Halikadhalika,Mungu hutoa kidogo kidogo elimu ya sayansi kwa watu pale anapotaka, hebu chukua mfano tofauti iliyokuwepo leo na miaka iliyopita katika maendeleo ya sayansi- leo sayansi ipo juu mno katika kila nyanja na bado Mungu akipenda itakwenda juu zaidi ya hapa kama tusipokufuru na kuifanya sayansi na teknolojia kuwa Miungu badala ya Mungu wa kweli mkuu, aliyejuu na mwenye sifa zote njema.
 
Kaka unajua kuna elimu sahihi na elimu batili ?

Je unajua misingi ya Sayansi ? Ukijua misingi ya Sayansi utaelewa kwanini nimesema hayo niliyoyasema katika mada yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka unajua kuna elimu sahihi na elimu batili ?

Je unajua misingi ya Sayansi ? Ukijua misingi ya Sayansi utaelewa kwanini nimesema hayo niliyoyasema katika mada yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app


Elimu sahihi ni ile yenye manufaa kwa watu na ambayo chanzo chake ni Mungu, na Elimu batili ni ile inayotoka kwa Shetani na haina manufaa bali maangamizo.

Mkuu, hayo ni maoni yangu, niko wazi kurekebishwa.
 
Elimu sahihi ni ile yenye manufaa kwa watu na ambayo chanzo chake ni Mungu, na Elimu batili ni ile inayotoka kwa Shetani na haina manufaa bali maangamizo.

Mkuu, hayo ni maoni yangu, niko wazi kurekebishwa.
Nitajie elimu batili kama mbili au tatu hivi na elimu sahihi kama tatu hivi au mbili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitendo cha kusema assume hlf mwishoni iwe therefore......hahahahhahaaaaaa sayansi baana ujanja ujanja tu
 
Proof zipo.. nyingi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah nimekuelewa sana Mkuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anataka damu kwasababu anajua damu ni nini kitu ambacho wewe hujui na mwisho wa kujua kwako ni uchawi tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sitaki kuamini kama dunia hii kuna Watu ka nyie
 
kutokuielewa kwako science haimaanishi inamapungufu katika hilo eneo na science inaendelea ku evolve ndo maana kila siku vitu vipya hugunduliwa na science pia hiyo hiyo hubadilika when proven wrong swali lako limeegemea wapi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acha kufananisha science na upuuzi.....uelewa wako bado mdogo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu bora ungeendelea kusita tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha hii ndo ile GPA ya 32 kutoka Chuo cha SUA Dodoma..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uelewa wangu unakuwa mdogo kivipi,kila kitu nilokisema hapo hakina scientific proof bali ni imani tu,wewee una uelewa wa kiasi gani mpaka ukaweza kuupima uelewa wa mtu mwengine,lete hizo proof basi
vitabu vya dini vimekulemea kichwani ukichanganya na urojo unaopiga kila siku huezi experience proof yoyote ndo utaelewa za kuletewa!....tusichoshane #urojoeffects

Sent from my SM-E500H using JamiiForums mobile app
 
Pale wanasayansi wanaposema hakuna Mungu! R.I.P sayansi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…