Je, ni zipi faida na hasara za Diapers kwa watoto?

kopundo

Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
8
Reaction score
0
Kuna ndugu yangu mke wake amejifungua.Nilipoenda kumwona mtoto, nilinunua zawadi ya pampers na kuzipeleka kisha nikaambiwa eti hawezi kuvalishwa kwa vile bado ni mdogo. Is this argument has any scientific foundation au zile zile misconception au myths in our society? I welcome opinions (traditional, scientific)

Thanks
 
NOPE!!! There is no any justification in regards to their decision.
 
Inawezekana kuna scientific explanation. Tena sio 'pampers', wengine hata nepi hawazitumii katika siku za mwanzo...... wanatumia vipande vya kanga mara nyingi iliyokwisha tumika! Pengine kwa imani kuwa ni vilaini zaidi na hivyo vitaendana na ngozi ya kichanga.

Binafsi kabla sijaenda against hizo myths huwa nazitizama kwa umakini mkubwa.....huwa naamini nyingi ya myths hizi zina busara fulani ndani yake. Hata hivyo sishangai sana katika hili la pampers kwa sababu ni kitu cha hivi karibuni tu.
 
Hahaha, hizo kanga zinaitwa 'visepe'. Hate them with all my heart! Yaani unakuta mzazi agha khan, kavaa gold etc afu mtoto kapigwa kisepe kimepaukaaaa!
Siku hizi watu hawanunuliwi zawadi banaa,unapeleka wine ya baba ama hela. Kuna mtu aliniambia mwanae anavaa 'pampers' original na maziwa anaagiza from UK, (mind u zote kwa ujumla ni 'diapers'). Sasa ukienda na vi-diaper vyako brandless vya kkoo ndo utaanza kusema wanadharau,lol
Inawezekana kuna scientific explanation. Tena sio 'pampers', wengine hata nepi hawazitumii katika siku za mwanzo...... wanatumia vipande vya kanga mara nyingi iliyokwisha tumika! Pengine kwa imani kuwa ni vilaini zaidi na hivyo vitaendana na ngozi ya kichanga.

Binafsi kabla sijaenda against hizo myths huwa nazitizama kwa umakini mkubwa.....huwa naamini nyingi ya myths hizi zina busara fulani ndani yake. Hata hivyo sishangai sana katika hili la pampers kwa sababu ni kitu cha hivi karibuni tu.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Totally agree. Diapers hazina tatizo as long as zinabadilishwa kila baada ya masaa 4. Na iangaliwe mara kwa mara incase haja kubwa imetokea. Hata hivyo kutokana na hali ya hewa mtoto wa any age hapaswi kuvaa diaper 24/7, walau apate upepo mara chache.
NOPE!!! There is no any justification in regards to their decision.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kila kitu kina hasara na faida zake...............get picha ya mtoto kavalishwa diaper mpka linagusa umbilical cord ambayo bado inahitaji kukauka kwa usafi wa hali ya juu......diaper limetoka store, dukani, ndo home......possibility ya contamination ni kubwa...wengine wanadhani diaper ni kama choo yaani mtoto ana over stay in contact na body wastes sometimes in some families......

Visepe (c lazima ziwe kanga used: waweza nunua kitambaa cheupe cha cotton na kukikata size ya nappy...ifuliwe na kupigwa pasi kabla ya kuanza kutumika) or nappies for new borns (zile soft with no villi) zaweza kupigwa pasi kila inapohitajika kuvaliwa na zinakunjwa to fit the baby without kugusa cord kwangu hii ndo advantage ya old is gold

Cha muhimu kujua ni kuwa new borns are extremely delicate na unahitajika umakini wa hali ya juu ili abaki kuwa mwenye afya, kulea ni demanding jamani so tuamue kuzaa tukijua kuwa a permanent and sustainable engagement is needed

Kwa wale wa mfumo dume now get a picture ya mzigo unaomuachia mkeo.........usibwate pale kila unapoleta nguo ya mtoto wa umri fulani kwa mtoto wako ikawa kubwa...........ni kwa sababu wewe baba umempunja mwanao physical attendance ambayo ni katika ukuaji wake

Kama vipi ncheki baadaye.....migandamizo iendeleee mpaka wanetu wawe na afya tarajiwa
 
Well said...issue iko hapo tuu kwenye red...unless otherwise no any other issues

Ahsante sana Dr....wengine wana imani ambazo kwa kweli zimepitwa na wakati.
 
......disposable diapers is the best one, hazina tatizo lolote. Muhimu ni kubadilisha diaper baada ya kuwa wet, usimuache mtoto avae muda mrefu.

Na kama una newborn, kuna diaper special kwa ajili ya vichanga ili zisiguse kitovu.
 
Heading ilikuwa ni pedi za watoto wadogo content ni pedi za watu wazima. Mkuu tutafutie basi topic ya pedi za watoto wadogo maana tunaambiwa pedi za watoto ni kiwanda cha kutengeneza UTI kwa watoto wetu.
 
oh... naamini some limeleweka japo kichwa kinamaana ingine ....
 
Heading inasema "watoto", ila maelezo ni kwa akina "dada"... mhm!!
 
Watu wameingia kwenye technolojia bila kujua madhara yake. Peds za watoto zinasababisha uti kwa watoto hasa wa kike. Tumeacha kutumia nepi tunaogopa kufua na kuhamia kutibu uti kwa watoto wetu.
 
Mkuu hili ni tatizo kwa akina mama wengi... Humuelezi kitu kuhusu pampers! Amvishe nepi mwanaye afu anukishwe mi.ko.jo thubutuuuu!!!!!
 
Kama uzingatii kanuni za usafi hata ukitumia nepi mtoto ataugua tu.Wanangu hawajawahi kuvaa nepi na hawajawahi kuugua UTI pamoja na kuwa nimewatahiri wakiwa 2 years plus. Imagine motto anashinda na nepi ilolowa mikojo mpaka anaungua...inatia huruma kwa kweli...pampus ndio mwake.
 
Wakina mama wengi vijana wameamua kuwavalisha watoto wao hizi nepi za kisasa maarufu kama Pampers, ili kuweza pamoja na mambo mengine kufanya kazi zao bila usumbufu wa kuwabadili watoto hao nepi mara kwa mara. Lakini ni sahihi kweli kwa kina mama kuwaacha watoto na hizo Pampers kwa siku nzima bila ya kuwabadilisha?

Maana siku hizi ni rahisi sana kukutana na mtoto wa miaka hata mitatu ananuka kinyesi kwa kuwa tu mama zao wamewazoeza kuwavalisha hizo nepi za kisasa. Wakina mama wamepewa taarifa za kutosha kiasi gani kuhusu madhara yatokanayo na kuwavalisha watoto Pampers kwa muda mrefu?
 
Wewe unaonaje?
Ukitaka kutoa ushauri au elimu toa tu, sio kuja na gear ya swali.
Sasa mtoto amesoil diaper yake halafu unauliza kama ni sawa kumuacha na hiyo diaper.
 
Back
Top Bottom