Kila kitu kina hasara na faida zake...............get picha ya mtoto kavalishwa diaper mpka linagusa umbilical cord ambayo bado inahitaji kukauka kwa usafi wa hali ya juu......diaper limetoka store, dukani, ndo home......possibility ya contamination ni kubwa...wengine wanadhani diaper ni kama choo yaani mtoto ana over stay in contact na body wastes sometimes in some families......
Visepe (c lazima ziwe kanga used: waweza nunua kitambaa cheupe cha cotton na kukikata size ya nappy...ifuliwe na kupigwa pasi kabla ya kuanza kutumika) or nappies for new borns (zile soft with no villi) zaweza kupigwa pasi kila inapohitajika kuvaliwa na zinakunjwa to fit the baby without kugusa cord kwangu hii ndo advantage ya old is gold
Cha muhimu kujua ni kuwa new borns are extremely delicate na unahitajika umakini wa hali ya juu ili abaki kuwa mwenye afya, kulea ni demanding jamani so tuamue kuzaa tukijua kuwa a permanent and sustainable engagement is needed
Kwa wale wa mfumo dume now get a picture ya mzigo unaomuachia mkeo.........usibwate pale kila unapoleta nguo ya mtoto wa umri fulani kwa mtoto wako ikawa kubwa...........ni kwa sababu wewe baba umempunja mwanao physical attendance ambayo ni katika ukuaji wake
Kama vipi ncheki baadaye.....migandamizo iendeleee mpaka wanetu wawe na afya tarajiwa