Kaina
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 380
- 326
Una uhakika wa hizo pampasi wanazofaa wao na zinazokuja Africa quality ni moja?mkuu hiki ndicho ninachokiamini na mimi kuhusu pampasi.
Atavaa tu Kwenye matukio maalumu ambayo kubadilibadili nepi inakuwa kwazo.
Lkn Mkuu kaswali kameniijia, mbona wazungu wanavaa tu na bado wanajitambua kuliko sisi wasomeshwaji namba?
Sent using Jamii Forums mobile app