Je, ni zipi faida na hasara za Diapers kwa watoto?

Je, ni zipi faida na hasara za Diapers kwa watoto?

mkuu hiki ndicho ninachokiamini na mimi kuhusu pampasi.
Atavaa tu Kwenye matukio maalumu ambayo kubadilibadili nepi inakuwa kwazo.
Lkn Mkuu kaswali kameniijia, mbona wazungu wanavaa tu na bado wanajitambua kuliko sisi wasomeshwaji namba?
Una uhakika wa hizo pampasi wanazofaa wao na zinazokuja Africa quality ni moja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya someni hiyo hapo. Unaambiwa hivi aina "IT ALTERS LIVER FUNCTIONING. THEY CAN ALSO DAMAGE REPRODUCTIVE FUNCTIONS, NERVOUS SYSTEM, IMMUNE SYSTEM AND ENDOCRINE SYSTEM.

Injinia soma mwenyeweeee

CHLORINE AND DIOXINS

One of the main concerns of diapers is that they are bleached with chlorine. When diapers are bleached with chlorine, that means there are dioxins. Dioxins are formed when chlorine is present. Dioxins are the most potent carcinogens. Dioxins can cause skin lesions and altered liver functioning. They can also damage reproductive functions, nervous system, immune system and endocrine system.They can also cause cancer. (Dioxins and Their Effects On Human Health)
Screenshot_20190113-091036.jpeg
Screenshot_20190113-091113.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu @Mod nahisi hajui mambo ya uzazi.
anachanganya uzi wa pedi na pampas?????????
kupatwa kwa JF.
Hebu tenganisheni uzi huu bhana
Maxence Melo
natanguliza heshima zote mkuu
 
Haya someni hiyo hapo. Unaambiwa hivi aina "IT ALTERS LIVER FUNCTIONING. THEY CAN ALSO DAMAGE REPRODUCTIVE FUNCTIONS, NERVOUS SYSTEM, IMMUNE SYSTEM AND ENDOCRINE SYSTEM.

Injinia soma mwenyeweeee

CHLORINE AND DIOXINS

One of the main concerns of diapers is that they are bleached with chlorine. When diapers are bleached with chlorine, that means there are dioxins. Dioxins are formed when chlorine is present. Dioxins are the most potent carcinogens. Dioxins can cause skin lesions and altered liver functioning. They can also damage reproductive functions, nervous system, immune system and endocrine system.They can also cause cancer. (Dioxins and Their Effects On Human Health)View attachment 993062View attachment 993063

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa chimbo lako hilo nakushauri usitumie. Tuachie ss wavivu wa kufua nepi tupambane na Huggies, sleepy etc.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom