Kuna ndugu yangu mke wake amejifungua.Nilipoenda kumwona mtoto, nilinunua zawadi ya pampers na kuzipeleka kisha nikaambiwa eti hawezi kuvalishwa kwa vile bado ni mdogo. Is this argument has any scientific foundation au zile zile misconception au myths in our society? I welcome opinions (traditional, scientific)
Thanks
Inawezekana kuna scientific explanation. Tena sio 'pampers', wengine hata nepi hawazitumii katika siku za mwanzo...... wanatumia vipande vya kanga mara nyingi iliyokwisha tumika! Pengine kwa imani kuwa ni vilaini zaidi na hivyo vitaendana na ngozi ya kichanga.Kuna ndugu yangu mke wake amejifungua.Nilipoenda kumwona mtoto, nilinunua zawadi ya pampers na kuzipeleka kisha nikaambiwa eti hawezi kuvalishwa kwa vile bado ni mdogo. Is this argument has any scientific foundation au zile zile misconception au myths in our society? I welcome opinions (traditional, scientific)
Thanks
Inawezekana kuna scientific explanation. Tena sio 'pampers', wengine hata nepi hawazitumii katika siku za mwanzo...... wanatumia vipande vya kanga mara nyingi iliyokwisha tumika! Pengine kwa imani kuwa ni vilaini zaidi na hivyo vitaendana na ngozi ya kichanga.
Binafsi kabla sijaenda against hizo myths huwa nazitizama kwa umakini mkubwa.....huwa naamini nyingi ya myths hizi zina busara fulani ndani yake. Hata hivyo sishangai sana katika hili la pampers kwa sababu ni kitu cha hivi karibuni tu.
NOPE!!! There is no any justification in regards to their decision.
Kila kitu kina hasara na faida zake...............get picha ya mtoto kavalishwa diaper mpka linagusa umbilical cord ambayo bado inahitaji kukauka kwa usafi wa hali ya juu......diaper limetoka store, dukani, ndo home......possibility ya contamination ni kubwa...wengine wanadhani diaper ni kama choo yaani mtoto ana over stay in contact na body wastes sometimes in some families......
Visepe (c lazima ziwe kanga used: waweza nunua kitambaa cheupe cha cotton na kukikata size ya nappy...ifuliwe na kupigwa pasi kabla ya kuanza kutumika) or nappies for new borns (zile soft with no villi) zaweza kupigwa pasi kila inapohitajika kuvaliwa na zinakunjwa to fit the baby without kugusa cord kwangu hii ndo advantage ya old is gold
Cha muhimu kujua ni kuwa new borns are extremely delicate na unahitajika umakini wa hali ya juu ili abaki kuwa mwenye afya, kulea ni demanding jamani so tuamue kuzaa tukijua kuwa a permanent and sustainable engagement is needed
Kwa wale wa mfumo dume now get a picture ya mzigo unaomuachia mkeo.........usibwate pale kila unapoleta nguo ya mtoto wa umri fulani kwa mtoto wako ikawa kubwa...........ni kwa sababu wewe baba umempunja mwanao physical attendance ambayo ni katika ukuaji wake
Kama vipi ncheki baadaye.....migandamizo iendeleee mpaka wanetu wawe na afya tarajiwa
Totally agree. Diapers hazina tatizo as long as zinabadilishwa kila baada ya masaa 4. Na iangaliwe mara kwa mara incase haja kubwa imetokea. Hata hivyo kutokana na hali ya hewa mtoto wa any age hapaswi kuvaa diaper 24/7, walau apate upepo mara chache.
Watu wameingia kwenye technolojia bila kujua madhara yake. Peds za watoto zinasababisha uti kwa watoto hasa wa kike. Tumeacha kutumia nepi tunaogopa kufua na kuhamia kutibu uti kwa watoto wetu.