Una uhakika wa hizo pampasi wanazofaa wao na zinazokuja Africa quality ni moja?mkuu hiki ndicho ninachokiamini na mimi kuhusu pampasi.
Atavaa tu Kwenye matukio maalumu ambayo kubadilibadili nepi inakuwa kwazo.
Lkn Mkuu kaswali kameniijia, mbona wazungu wanavaa tu na bado wanajitambua kuliko sisi wasomeshwaji namba?
Kwa chimbo lako hilo nakushauri usitumie. Tuachie ss wavivu wa kufua nepi tupambane na Huggies, sleepy etc.Haya someni hiyo hapo. Unaambiwa hivi aina "IT ALTERS LIVER FUNCTIONING. THEY CAN ALSO DAMAGE REPRODUCTIVE FUNCTIONS, NERVOUS SYSTEM, IMMUNE SYSTEM AND ENDOCRINE SYSTEM.
Injinia soma mwenyeweeee
CHLORINE AND DIOXINS
One of the main concerns of diapers is that they are bleached with chlorine. When diapers are bleached with chlorine, that means there are dioxins. Dioxins are formed when chlorine is present. Dioxins are the most potent carcinogens. Dioxins can cause skin lesions and altered liver functioning. They can also damage reproductive functions, nervous system, immune system and endocrine system.They can also cause cancer. (Dioxins and Their Effects On Human Health)View attachment 993062View attachment 993063
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila la heri. Ila watoto wetu wa kiume watakapoanza kuchumbia wa kwenu wa kiume msimlilie MunguKwa chimbo lako hilo nakushauri usitumie. Tuachie ss wavivu wa kufua nepi tupambane na Huggies, sleepy etc.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia inasonga mbele nyie mnarudi middle stone ageKila la heri. Ila watoto wetu wa kiume watakapoanza kuchumbia wa kwenu wa kiume msimlilie Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app