Je, nibaki na Salim ambaye anataka kunioa mke mdogo au niendelee kumsubiri Frank ambaye haeleweki?

Je, nibaki na Salim ambaye anataka kunioa mke mdogo au niendelee kumsubiri Frank ambaye haeleweki?

Kama hawajashiriki tunda, bado huna mwanaume wa uhakika hapo.

Ngoja washiriki kisha waweke kituo ndio uanze kufanya maamuzi.

Wanaume wengi wakiwa hawajala mzigo wanakuwa very sweat and romantic, ila akishamega anaweza kubadilika.
 
Haya ndio yake mahusiano ya kimalaya malaya ndio maana unashindwa umkubalie yupi umwache yupi,yaani hapo kwa utaumia sana moyo wako hauna msimamo.
 
Sio kwamba nataka sana kuolewa nao… najaribu kutafuta mtu wa kukaa nae angalau mda mrefu walau tu enjoy mambo ya ndoa yatajiset yenyewe ila kwasasa nataka mtu ambae nitakula nae maisha [emoji1787][emoji1787]
Sasa unakulaje maisha wakati mbususu hutoi?
 
Nimecheka mnooooo!
Na vile bado bikra atulie tu, otherwise atajikuta anapoteza thamani ya bikra yake na kuishia kuzalishwa bila ramani!
Ataona bora angefurahia maisha yake tangu kitambo!

Ila sijasema mimi bikira nimesema tunda bado bichi [emoji38][emoji38]
 
Wanaume huwa na code zetu na kuzitoa hapa italeta shida lakini nabaki kujiuliza Frank,Alex na Salim wajinga nyinyi kwanini hamjaila hii mbususu mpaka leo???[emoji23][emoji23]

Sasa kama mwenye mbususa hataki kuliwa wabake??
 
Kama hawajashiriki tunda, bado huna mwanaume wa uhakika hapo.

Ngoja washiriki kisha waweke kituo ndio uanze kufanya maamuzi.

Wanaume wengi wakiwa hawajala mzigo wanakuwa very sweat and romantic, ila akishamega anaweza kubadilika.

Eeeh
 
Haya ndio yake mahusiano ya kimalaya malaya ndio maana unashindwa umkubalie yupi umwache yupi,yaani hapo kwa utaumia sana moyo wako hauna msimamo.

Hahaha wawili tu unaitwa malaya ukiwapanga kumi je
 
Hivi Kuna redio 4 zenye frequency sawa katika mkoa mmoja ?
Sasa mchumba unachanganyikiwa na Nini ?
HISIA ni frequency dada Mambo yasiwe mengi
"Alex hapA"😂
 
Hivi Kuna redio 4 zenye frequency sawa katika mkoa mmoja ?
Sasa mchumba unachanganyikiwa na Nini ?
HISIA ni frequency dada Mambo yasiwe mengi
"Alex hapA"[emoji23]

Alex huwaga ana kichaa cha uongo uongo tu mie sitaki hata kurudiana nae hata sekunde
 
Back
Top Bottom