Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa unakulaje maisha wakati mbususu hutoi?Sio kwamba nataka sana kuolewa nao… najaribu kutafuta mtu wa kukaa nae angalau mda mrefu walau tu enjoy mambo ya ndoa yatajiset yenyewe ila kwasasa nataka mtu ambae nitakula nae maisha [emoji1787][emoji1787]
Nimecheka mnooooo!
Na vile bado bikra atulie tu, otherwise atajikuta anapoteza thamani ya bikra yake na kuishia kuzalishwa bila ramani!
Ataona bora angefurahia maisha yake tangu kitambo!
Unamaanisha kwamba wewe u bikra??
Jibu haraka tafadhali
Wanaume huwa na code zetu na kuzitoa hapa italeta shida lakini nabaki kujiuliza Frank,Alex na Salim wajinga nyinyi kwanini hamjaila hii mbususu mpaka leo???[emoji23][emoji23]
Kama hawajashiriki tunda, bado huna mwanaume wa uhakika hapo.
Ngoja washiriki kisha waweke kituo ndio uanze kufanya maamuzi.
Wanaume wengi wakiwa hawajala mzigo wanakuwa very sweat and romantic, ila akishamega anaweza kubadilika.
Haya ndio yake mahusiano ya kimalaya malaya ndio maana unashindwa umkubalie yupi umwache yupi,yaani hapo kwa utaumia sana moyo wako hauna msimamo.
Sasa unakulaje maisha wakati mbususu hutoi?
Safi itoe bwana na yenyewe ipate kumeza de libolo🤣🤣🤣🤣Ndo nataka nitoe ivoo
Safi itoe bwana na yenyewe ipate kumeza de libolo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi Kuna redio 4 zenye frequency sawa katika mkoa mmoja ?
Sasa mchumba unachanganyikiwa na Nini ?
HISIA ni frequency dada Mambo yasiwe mengi
"Alex hapA"[emoji23]
Mchungaji harudi kashaenda na Yesu wake, unasubiri Nini ?Alex huwaga ana kichaa cha uongo uongo tu mie sitaki hata kurudiana nae hata sekunde
Hakuna niliewai kukulana nae ni yale mahusiano ya mbali so tunaishia kuchart na hata wakiniomba tunda nawachenga
Wakuu hapa tumepigwa....!!Katika hao wa 4 Salim ndio amebahatika kunikiss tu
Mchungaji harudi kashaenda na Yesu wake, unasubiri Nini ?
Wakuu hapa tumepigwa....!!