wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,597
- 29,527
Short-circuit kkYaani kwa mfano nikachukua wire labda miter 2 au tatu na top plug 2 nikafunga plug moja huku na nyingine huku alafu nikapachikq kwenye swichi socket ya njia 2 alafu nikawasha je!nini kitatokea?
Kwahiyo unatoa umeme kwenye main, ulioingia kutoka wire wa tanesco, unauchannel kwenye socket kwaajili ya matumizi halafu unaurudisha huo umeme urudi nyuma kupitia njia hiyohiyo iliyouleta..Kivipi wakati line ni moja