Je, nikifungua akaunti Benki ya Standard nchini Bahamas, naweza kupata huduma kama mteja wa Benki hiyo nikiwa Tanzania?

Mleta mada kidogo naona kama mgumu kuelewa jamani...naona BORA uende bank customer service desk, huko ulipo, wachukue ubao na chaki na dasta, ndiyo utaelewa...
Dizaini humu maelekezo uliyopata ya wazoefu, bado kuna mashaka..
Unakuwa kama pesa ulizonazo ni za maagamu na magumashi, unaooogopaaah...

Everyday is Saturday..................... 😎
 
Maelezo meeengi lakini bado huja.address nilichokuhoji! Kwanini mhusika asitumie initiative ya kuwasiliana na bank ya Bongo ambako atapata first hand info?
You're very funny! Eti sijajibu ulichohoji wakati tangia mwanzo nilishasema mosi, hana sababu ya msingi ya kwenda branch, na pili nilishasema hata akienda hawezi kuambia tofauti na kile nilichokisema hapa!!! Sasa sijajibu kivipi?!
Kama hiyo bank ya Bahamas haiwezi kujua operation za hiyo ya Bongo, wewe ndiyo utajua?
Jibu NDIYO, kwa sababu hayo mambo nimefanya practically na sio kwa kuhadithiwa! Awali niliandika hadi maelezo kuhusu mihamala inavyokwenda, maximum limit per transaction, equivalent USD atakayokuwa debited per every maximum limit, na hata ATM za benki gani zina charges nafuu zaidi! Hata hivyo, nikaamua kufuta maelezo mengine!

Ajabu ambayo niliwahi kukutana nayo ni kwenye mashine za Stanbic ambazo zilikuwa zinagoma katakata... na kwa kuhofia nisije nikamezesha kadi nikaamua kuachana nazo!!
Huoni kuwa hapa anaweza kabisa kupata majibu yasiyo sahihi na akayaamini lakini baadae yakajam-cost sana kama hayako sahihi? Huo muda aliotumia kuanzisha thread kuulizia kwa nini asingewasiliana na Standard Chartered Bongo ambako ndiyo wahusika?
Hapa atapata majibu kutokana na experience ya watumiaji na sehemu nyingine yoyote atapata theory!

Na iwe iwavyo katu hayawezi kum-cost kwa sababu Mastercard/VISA ni Universal Payment Processor! Kama ambavyo mtu anayeishi Dar es salaam hawezi kufunga safari hadi ilipo CRDB kwa mfano kwa ajili ya kuchukua pesa, ndivyo hata yeye hakuna kitakachom-cost no matter what kwa sababu atakuwa na MasterCard/VISA!

Ni kutokana na hilo ndo maana nikamwambia kama kadi inatarajia ku-expire anaweza kupewa kadi nyingine au anaweza hata kutumiwa, usually kwa DHL.
 
Bado ume-twist tena. Hapo juu ulisema suala siyo card. Hapa unasema suala ni kadi. Unasimamia wapi ndugu yangu? Mimi nimesema maelezo yoyote atakayoyapata hapa juu ya huduma hayatakuwa sahihi kama angewasiliana na benki yenyewe. Upo hapo?
 
Bado ume-twist tena. Hapo juu ulisema suala siyo card. Hapa unasema suala ni kadi. Unasimamia wapi ndugu yangu? Mimi nimesema maelezo yoyote atakayoyapata hapa juu ya huduma hayatakuwa sahihi kama angewasiliana na benki yenyewe. Upo hapo?
Ni mgumu wa kuelewa, au tatizo lako ni nini hasa?! Ni kwamba huelewi au unataka ligi isiyo na maana au unapenda ubishi ambao kabla ulisema napenda ubishi usio na maana huku ukionesha wazi wewe ndo unapenda ubishi usio na faida!!

Kisha unadai nime-twist wakati tangia mwanzo nimesema wazi kabisa kwamba anaweza kufanya transaction bila kujali benk ipi kwa kutumia kadi!!

Kwa mfano hapa chini, nimetaja akitumia mashine za CRDB kuonesha anaweza kufanya WDL kwa kutumia mashine ya benki yoyote ile provided iwe inapokea VISA/MasterCard!!

Hata "deposit" na yenyewe ndo hivyo hivyo... anaweza kutumia benki yoyote ile kwa sababu kinachofanyika sio direct deposit bali ni wire transfer!!

Post yangu ya kwanza kabisa ni hii:

Baada ya post ya kwanza, post yangu ya pili nikamweleza uwezekano wa yeye kutumiwa kadi hata akiwa Bongo huku nikitangulia kumweleza ni mambo yapi anaweza kufanya kabla hajasafiri:-

Kwa bahati mbaya akawa hajaelewa issue ya wire transfer, ndipo nikaandika post ya tatu na kumfafanulia:-
Sasa hadi hapo ni kipi nilicho-twist?!

Lakini cha ajabu kabisa, wewe ile unaanza kuchangia tu, ukaanza na ligi zisizo na maana yoyote ile:-
Ukaona jamaa anajisingizia yupo nje kumbe sio! All in all, awe nje au asiwe nje, was it necessary?

Kutokana na maelezo yako, ndipo nikakuuliza:-
Hivi unatarajia Standard Chartered Bank Bahama wanaweza kufahamu banking procedures za Bongo?! Kumbuka hizi sio foreign branches bali ni subsidiary ban ambayo kila moja ina-operate kulingana na regulation za nchi husika!!!
The same issue bado nimekuwa nikisisitiza hata posts za karibuni!

Again, nime-twist nini hapo?!

Baada ya kujibu nilichokuuliza, ukadai:-
Yaani mie niliyetoa jibu la nini anaweza kufanya unadai na-complicate lakini sio wewe unayetaka aende bank physically!!

Again, kipi nime-twist?! Wapi nimebadilisha maelezo yangu?!
 
Ndiyo unakwepa kwepa kukubali ukweli kuwa kama akiwasiliana na benki husika ndiyo atapata taarifa sahihi kuliko hizi za hapa. As simple as that.
 
Anazotaka yeye zipi?!
Alizoulizia hapa. Kwani wewe ulimwelezea nini? Ulimjibu hivi
Kuna mwingine akamjibu hivi
Sasa ashike lipi? Ni yupi mwenye jibu sahihi kati yako na huyo mwingine? Huoni umuhimu wa kuulizia bank husika?
 
Utapata taarifa zote huduma kwa wateja hapo kaunta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alizoulizia hapa. Kwani wewe ulimwelezea nini?
Ukiulizwa swali unatakiwa kujibu swali... again, taarifa sahihi kama zipi?! Mleta mada hakuna popote alipotaja suala la "taarifa sahihi" lakini watu wakamjibu kutokana na uzoefu wao!!

Sasa inawezekana waliochangia hawakuzingatia suala la "taarifa sahihi", ndo maana nimekuuliza "taarifa sahihi zipi"?
 
Umezingua man [emoji1787]

Ungewakilisha nchi



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je kirefu chake ni nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni kuwa wale wako chini ya sheria za bank kuu ya bahamas na huko bongo ni BoT na ukweli kuwa siwote wanaofanya kazi bank wano uwezo wa kufahamu haya ndo maana nimelileta hili jambo hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alizoulizia hapa. Kwani wewe ulimwelezea nini? Ulimjibu hivi

Kuna mwingine akamjibu hivi

Sasa ashike lipi? Ni yupi mwenye jibu sahihi kati yako na huyo mwingine? Huoni umuhimu wa kuulizia bank husika?
Wewe toka mada inaanza uko mtata sana sio wote wanaofanya kazi bank wanaweza wakanielezea yote haya niliyo pata kwa chige

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Every is day not Saturday

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe toka mada inaanza uko mtata sana sio wote wanaofanya kazi bank wanaweza wakanielezea yote haya niliyo pata kwa chige

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtata ni wewe unayefungua thread za kuulizia mambo rahisi kupata info zake. Soma thread nilizoweka link hapo chini uone unavyojianika mwenyewe. Unaogopa nini kuwasiliana na mamlaka husika? Wewe ni drug dealer? Inabidi tu-flash ID yako kwa wazee huko wakufanyie uhakiki. Kama haya unayoulizia ni ya kweli basi inaonekana ulitoka Bongo na ulipofika South Africa ukatafuta namna ya ku-extend visa yako kimagumashi, na sasa umeenda Bahamas kuchukua mzigo au unataka kufungua offshore account ili fedha zako chafu za unga zisiweze kufuatiliwa.

Msaada wa VISA ya Afrika Kusini - JamiiForums

CRDB Card bank naweza kuswap nje ya nchi - JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…